Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,250
- 108,222
Unanyonya au sio 😂😂😂
Hewalaaaa...hadi kanakuwa kakavuuuu
Unanyonya au sio 😂😂😂
Tatizo pia watoto wetu Wana tamaa sanaKosa
Kosa lipo kwa wazazi pia kwa kutowashilikish watot wao katika kujua n namna gan ela ya adda zao zinavyopqtikan
Naamin ingewez kump uchungu wa kushik kilichompeleke hap mjini chuoni
Duh hio mbaya hiooo
Sahih kabisa mkuu watoto wakike tamaaTatizo pia watoto wetu Wana tamaa sana
Nilishasain dhamana ya million 10 kesi ya wife, osterbay polisi sikupeleka bonding ya million 5 wala chochoteNdo maana nakwambia hujielewi
Moja ya kigezo cha dhamana ni bondi ya million 5
Yaani laZima uwe na million 5 benki upeleke uthibitisho
Well said 👏Sitaki kumtolea mtu mfano.Mimi nimelelewa kistaarabu sana lakini kuna kipindi huwa nakuwa hata akili zangu sizielewielewi.Naweza nikafanya kibweka hadi wewe mtazamaji ukakimbia kwa aibu na hofu.Sasa hapo wazazi/malezi yanahusika vipi na ujingaujinga wangu?🫸🫷😜