Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,365
- 18,152
International straiker Freddy.
Huyo hawezi kucheza timu yoyote ya Ligi Kuu ya hapa TZ.
Labda daraja la tatu.
Huyo hawezi kucheza timu yoyote ya Ligi Kuu ya hapa TZ.
Labda daraja la tatu.
🤣🤣
Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo.
Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.