Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

Tumpe muda ni mchezaji mzuri yule
Tukizungumza ukweli yule Fred tumepigwa! Hafai kabisa kucheza Ligi kuu ya Tanzania, labda ktk Tanzania yetu akacheze mchangani au daraja la tatu Wilaya.
Lakini Cha ajabu Benchika ndio amekuwa mtu wake na sijui Kuna Siri gani kati ya Fred na Benchika, maana ata siku ile na TRA Fred alipofunga goli Benchika alifurahi na kumpongeza, wakati akina Kanoute Pamoja na kupiga hat trick akupongezwa.
Lakini Tahadhari Kwa Benchika huyo Fred atamgharimu, kelele zimeshaanza, kama Kuna mkarimani wa kiarabu humu amtafsirie

Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
 
Mkalimani yupo.
Google translate
 
Benchika sio kocha... Kocha mwenye akili timamu hawezi mkataa CHAMA!!. Alikuja na mbwembwe zakutaka kufuta utawala wa chama kaaibika mwenyewe... Ili Simba iwe bora uwanjani inategemea chama awe Bora siku hiyo... Matokeo ya Simba yapo miguuni mwa chama...
 
Ivi kwa akili timam No 9 wa team kubwa team yangu ya utotoni inawezaje kua na mshabuliaji mwenye miguu kama hii toka nimemuona siku ya kwanza nikajua hapa hakuna kitu yani tumepigwa wazi wazi
GHMA0snXAAI7w3B.jpeg
 
Fredi hamna kitu kabisa.
Hapo waliomleta walipiga pesa za MO.
Par Omar Jobe unamwona kabisa anacheza na kuongezeka.

Babarcar unaona kabisa anacheza na kuongezeka.

Fredi anazidi kupungua uwezo.
 
Tukizungumza ukweli yule Fred tumepigwa! Hafai kabisa kucheza Ligi kuu ya Tanzania, labda ktk Tanzania yetu akacheze mchangani au daraja la tatu Wilaya.
Lakini Cha ajabu Benchika ndio amekuwa mtu wake na sijui Kuna Siri gani kati ya Fred na Benchika, maana ata siku ile na TRA Fred alipofunga goli Benchika alifurahi na kumpongeza, wakati akina Kanoute Pamoja na kupiga hat trick akupongezwa.
Lakini Tahadhari Kwa Benchika huyo Fred atamgharimu, kelele zimeshaanza, kama Kuna mkarimani wa kiarabu humu amtafsirie

Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
Benchika nae ni kocha wa mchongo tu! Hana mbinu zozote za maana ndio maana uwa hakai na timu zaidi mwaka mmoja anafurushwa.
 
Hao watu wako busy kufanya biashara yakuingiza pesa kupitia wachezaji.Unaleta mchezaji mgeni hadi azoee viwanja vyetu msimu umeshaisha.Unamleta kocha mkubwa wakati huna wachezaji wa maana.Alafu tajiri wetu kazi yake nikulalamikia tu pesa zake.
 
Kama nyie akili mbili mlipousahau kwa miaka 4 mfululizo..kawaid sana...hakuna jipya kwa timu za kariakoo..
Msingebebwa kule kagera mngekua mnakenua mdomo? Maana mpk refa alitozwa faini au kufungiwa kwa ule uamuzi wake mpk akalazimisha droo..
Kwa mpira huu coastal union watatungukuta za kutosha

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Kama nyie akili mbili mlipousahau kwa miaka 4 mfululizo..kawaid sana...hakuna jipya kwa timu za kariakoo..
Msingebebwa kule kagera mngekua mnakenua mdomo? Maana mpk refa alitozwa faini au kufungiwa kwa ule uamuzi wake mpk akalazimisha droo..
Tatu Malogo ajengewe sanamu kwa kutubeba sisi Makolokolo SC.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom