Aliyekuwa Shoga maarufu jijini kama Aunt Asu aokoka

Mtoto wa watu kachoka kubinuliwa daily !! kweli Mungu ni muweza .Ila ajitahidi kuwaepuka rafiki zake maana ni rahisi sana kushawishiwa name kurudi kwenye gemu !!
 
Bwana apewe sifa sana bora amemjua bwana kwani yesu alisema if you ask anything in my name,i will do it John 14:14,if you love me keep my commandments John 14:15.
 
Watu wa aina hii huwaga mnatia huruma mno ila Mungu ni mwema iko siku mtaelewa.

omba usiku na mchana uelewe ukiwa hapa na sio jehanamu sababu itakugharimu.

Kwa hiyo wewe unataka tusitumie akili na kufikiria beyond our nose?

Babu DC!!
 
Me naona unamsaidia Mungu kufikiri kwamba anawezakufanya yale unayoweza wewe kama mwanadamu.

Haya bwana,

Kwa nini hutaki kuamini kwamba kuna post-decision effects ambazo anatakiwa kudeal nazo?

Unataka kutushawishi tuamini tu kwamba kwa vile kaacha hiyo tabia yake kwa kuokoka basi hatapata madhara ya mambo aliyoyafanya kabla?

Babu DC!!
 
Kwa hiyo wewe unataka tusitumie akili na kufikiria beyond our nose?

Babu DC!!

Haya bwana,

Kwa nini hutaki kuamini kwamba kuna post-decision effects ambazo anatakiwa kudeal nazo?

Unataka kutushawishi tuamini tu kwamba kwa vile kaacha hiyo tabia yake kwa kuokoka basi hatapata madhara ya mambo aliyoyafanya kabla?

Babu DC!!

Hoja unazozitoa zinamashiko sana na pia zinamistari ya kuisapoti kibiblia lakini pamoja

na MUngu kukupa utashi huo wa kufanya mambo haimfanyi yeye kuwa dhaifu kufanya

makubwa zaidi ya unayoyafikiri umefanya makubwa.
 
Kwani hatuwezi kuchora mstari na kufanya yale ambayo ni wajibu wetu??

Au tunasubiri kuja kumlaumu shetani baadaye??

Babu DC!!
 
Sijanunua hii, watu wanaamini kirahisi, ila sio mie.

Bora umekuja....

Yaani siku hizi wajukuu wananitelekeza nasulubiwa alone alone...

Eti tuamini kwamba kwa vile kaombewa na kukoka hata zile sphincter muscles zitarudi kwenye normal overnight??

Na tusiulize kwa nini aliamua kupindisha mashua na kuizamisha?

Babu DC!!
 
Umenisaidia kusema
Mambo mengine inabidi tu mtu utofautishe imani na ukweli.

Wengi tunawaona wanatupa ARV na kusema wameponywa, siku kadhaa tu hoi mnarudi kule kule.

Tunahitaji kuacha kupumbazwa sometimes.

Kwa hiyo wewe unataka tusitumie akili na kufikiria beyond our nose?

Babu DC!!
 
Kwani hatuwezi kuchora mstari na kufanya yale ambayo ni wajibu wetu??

Au tunasubiri kuja kumlaumu shetani baadaye??

Babu DC!!

Jema lolote unalolifanya sio wewe unaefanya bali unaongozwa na Mungu kulitenda bila kujua

bila yeye hata ilo ambalo unataka kuwekeana makubaliano [kuchora mstari] na Mungu

hautaweza kwani bila yeye huwezi lolote hata kukata kucha wacha intellectual things.
 
Babu ujue hizi dini hizi inabidi tuwalee watoto wazijue tangu utotoni.

Wakizielewa watajua miujiza ni nini na inapatikanaje.

Unakuta mtu ana malaria hataki metakelfin anakesha anaomba, sio wehu huo?

Sasa huyu ukute nati zimelegea iwe miujiza zifunge? Absurd and sad.

Bora umekuja....

Yaani siku hizi wajukuu wananitelekeza nasulubiwa alone alone...

Eti tuamini kwamba kwa vile kaombewa na kukoka hata zile sphincter muscles zitarudi kwenye normal overnight??

Na tusiulize kwa nini aliamua kupindisha mashua na kuizamisha?

Babu DC!!
 
Umenisaidia kusema
Mambo mengine inabidi tu mtu utofautishe imani na ukweli.

Wengi tunawaona wanatupa ARV na kusema wameponywa, siku kadhaa tu hoi mnarudi kule kule.

Tunahitaji kuacha kupumbazwa sometimes.

Na hapo ndipo mie ninapochokaga.....

Watu hawataki kuamini kwamba sayansi ndiyo imeifikisha dunia kwenye haya maendeleo...ukiwauliza haya maendeleo ya technology yametoka wapi, naamini kuna watu watadai kwamba ni kazi ya Mungu tu!!

Nobel winner wa Science ....F Sanger alisema hivi alipoulizwa kwamba, anaamini kuwa kuna Mungu??

"As longer as I would very much like to believe that God exists, I will find it hard to convince myself if I don't get proofs"!!

Sanger na Gilbert waligundua njia ya kufanya DNA sequencing ambayo imeleta mapinduzi makubwa sana ya kisayance..

Frederick Sanger - Wikipedia, the free encyclopedia

Babu DC!!
 
Jema lolote unalolifanya sio wewe unaefanya bali unaongozwa na Mungu kulitenda bila kujua

bila yeye hata ilo ambalo unataka kuwekeana makubaliano [kuchora mstari] na Mungu

hautaweza kwani bila yeye huwezi lolote hata kukata kucha wacha intellectual things.

Kwa hiyo na wale wanaoshindwa kufanya mambo ya maana ni kwa sababu ya Mungu?

Do you believe in negligence na hard work/innovation??

Babu DC!!
 
Ina maana na wewe ni mdau wa kumsingizia Mungu vitu ambavyo vinahitaji mainjinia na madaktari?

Daraja likimwagika tunamwachia Mungu akalinyanyue Filipo?

Babu DC!!

Kha ha ha haaaaa! Nafuu umenisaidia swali hili kwa ndugu yetu huyu Filipo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom