McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh
Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni ukweli kwamba hakuna haki bila amani. Anasema "kikishanuka" hiyo haki utaenda kuipatia wapi?
Msikilizeni hapa