Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
====
Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki.
Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory Coast wamethibitisha hilo jana 15 July 2025.
Ibrahim Sow aliwahi kushiriki Mashindano makubwa ya Quran ya Afrika yanayondaliwa na Taasisi ya Alhikma Foundation 2024 na kuibuka Mshindi mdogo zaidi 14 katika uwanja wa Mkapa.
Ibrahim aliwahi kushiriki Mashindano makubwa ya Kimataifa ya Quran yanayofanyika Dubai 2023.
"Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea"