Aliyekuwa Mbunge (Benito Malangalila) afariki dunia

Aliyekuwa Mbunge (Benito Malangalila) afariki dunia

R.I.P. Mh. Benito. Jamani kwenye misiba tuungane tupeane pole.
 
Tupo pamoja poleni wafiwa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
thnx wote,tushamzika ni baba ang mdogo,,Mwana kijiji huyu si dr.malangalila, Unayemsemea ww sahv ana miliki shule ya sekondari ya Ghome ipo dar,,
Apumzike kwa amani
 
Naamini sio yeye ingawa wanweza wakwa ndugu.Aliyekuwa Tanga mara ya mwisho nilimuona kiwa World Bank mtaa wa Mirambo.

ni kweli hawa mi ndug zangu wote nawafaham, wa Tanga ni Dr.Emanuel malangalila alikuwa world bank pia sasa anamiliki shule ya Ghome ipo dsm
 
RIP Malangalila. Alishawahi kuwa mwalimu wa sekondari kwa miaka kadhaa kabla hajawa mbunge. Shule yake ya mwisho kufundisha ilikuwa ni Itengule, iliyo wilayani Mufindi, jirani kabisa na Malangali sekondari
 
thnx wote,tushamzika ni baba ang mdogo,,Mwana kijiji huyu si dr.malangalila, Unayemsemea ww sahv ana miliki shule ya sekondari ya Ghome ipo dar,,
Apumzike kwa amani

Poleni sana Mungai JJ alikuwepo? Nasikiaga wana undugu
 
Wote wa mufindi ila Mungai kaskazini RIP kusini na waluikuwa wabunge wote. Malangalila nilimfahamu wakati nasoma Malangali High school alikuja kupiga siasa zake. Anyway RIP mbunge.
 
Huyu ndiye Dr. Malangalila siyo? nadhani namkumbuka akiwa Tanga miaka ya
themanini kama ndiye yeye. Poleni sana wafiwa.. nakumbuka watoto wake kina Humphrey


RIP
Alikuwa ni Engineer, sie Dr yule aliyekuwa RMO Tanga mika ile.
 
aisee mjomba,poleni ndugu zangu ukoo wa malangalila
inguluvi itange swee!
 
RIP Benito Malangalila, Alikua mbunge 1995-2010 na sio 2005-2010. Alipata ubunge kipindi hicho akitokea Igowole Sekondari alikokua Mkuu wa shule.
 
Huyu ndiye Dr. Malangalila siyo? nadhani namkumbuka akiwa Tanga miaka ya themanini kama ndiye yeye. Poleni sana wafiwa.. nakumbuka watoto wake kina Humphrey

Nafikiri MM, umechangaya, huyu hakua Dr. huyu bwana alikua na uhusiano na akina Josephat Mungai yule aliye kua Mbunge wa Mufindi Kaskazini, alikua Headmaster wa shule moja huko huko Mufindi for sometimes then mara baada ya Mufindi kugawanywa, Mjomba wake Mungai aligombea kaskazini while yeye alikua Kusini, mkewe alifariki wakati wa Bunge la Tisa nadhani, bila shaka alizikwa pale Malangali, RIP Mwalimu Benito Malangalila!
 
Back
Top Bottom