Aliyekuwa Mbunge (Benito Malangalila) afariki dunia

Huyu ndiye Dr. Malangalila siyo? nadhani namkumbuka akiwa Tanga miaka ya themanini kama ndiye yeye. Poleni sana wafiwa.. nakumbuka watoto wake kina Humphrey
Naamini sio yeye ingawa wanweza wakwa ndugu.Aliyekuwa Tanga mara ya mwisho nilimuona kiwa World Bank mtaa wa Mirambo.
 
Mmbangifingi na Wana JF,
Poleni sana Wafiwa, Kazi ya Mungu haina Makosa, Tumshukuru Mungu kwa kila Jambo,
Bwana alitoa, na bwana ametwaa, na Jina la Bwana na lihimidiwe,
RIP Benito Malangalila.
Nawakilisha.

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
 
Mmbangifingi na Wana JF,
Poleni sana Wafiwa, Kazi ya Mungu haina Makosa, Tumshukuru Mungu kwa kila Jambo,
Bwana alitoa, na bwana ametwaa, na Jina la Bwana na lihimidiwe,
RIP Benito Malangalila.
Nawakilisha.

Asante mkuu,, jamaa ameumwa muda mrefu sana.
 
RIP .Lakini pia dunia inahitaji endelea ,sijui CCM uti wa mkongo unatikisika kiasi gani?
 
RIP malangalila, je alikumbuka kutubu madhambi kwa kua chama linalowatesa wananchi na kuwaua bila huruma
 
Huyu ndiye Dr. Malangalila siyo? nadhani namkumbuka akiwa Tanga miaka ya themanini kama ndiye yeye. Poleni sana wafiwa.. nakumbuka watoto wake kina Humphrey

Mkuu sidhani kama huyu ex Mbunge (rip) alifikia level hiyo kwa shule/taaluma ama heshima kwa maana ya DR ya kupewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom