macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,218
- 60,264
Huwezi kuishi kwa kijificha bila msaada. Utakula nini? Ukiugua nani atakutibu? Halafu kuna uwezekano walijua alipo kwa sababu ya kutumia simu au kwa ku-trace watu walio karibu naye.Humphrey amezingua pakubwa sana.
Unajua upo kwenye vita kali, unaishije na mtu nyumbani? Angejitenga kabisa na walimwengu.
Ili usiumie fikiria utekaji ulianza lini na je yeye alipokua kwenye nafasi ya kuzuia utekaji,aliuzuia au aliutetea?Kiukweli sijuani na Polepole na hanijui,mimejikuta nimeumia mnoo kwa ajili yake,sijapata mood ya kazi kabisa leo..na kwa mara ya kwanza nimeliombea Taifa la Tanzania.
Unaambiwa Odemba ndo kamuuza kwasababu ilikuwa amhoji Leo onlineAiseeeeeeeeeee
😂😂😂 We jamaa report kituo cha police kilicho karibu yakoUnaambiwa Odemba ndo kamuuza kwasababu ilikuwa amhoji Leo online
Duh mpk nimejikuta namuuliza Mungu maswali aiseeKiukweli sijuani na Polepole na hanijui,mimejikuta nimeumia mnoo kwa ajili yake,sijapata mood ya kazi kabisa leo..na kwa mara ya kwanza nimeliombea Taifa la Tanzania.
NdioWasaidizi 2 alikua nao ndio waliomuuza. Mpaka sasa hawajulikani walipo.
Unaambiwa na nani,Unaambiwa Odemba ndo kamuuza kwasababu ilikuwa amhoji Leo online
Alishauriwa Lakin si kila jambo lazima liwe tunavyotakaNdio
Na ndo namuuliza britannica ,mana alisemq aliapata access ya kumshauri awe makini
Kwann hakumshauri na hili pia ,kwamba asiwe na wasaidizi?
Dah, upo?Alishauriwa Lakin si kila jambo lazima liwe tunavyotaka
Mkuu mimi nimelia na machozi kabisa, nipo safarini lakini fikra zangu zinatawaliwa na mateso makali anayopata mtu yule huko alipo.Kiukweli sijuani na Polepole na hanijui,mimejikuta nimeumia mnoo kwa ajili yake,sijapata mood ya kazi kabisa leo..na kwa mara ya kwanza nimeliombea Taifa la Tanzania.
ChangamotoAlishauriwa Lakin si kila jambo lazima liwe tunavyotaka
Watu tunachomanaChangamoto
Wahuni wametuzidi nguvu mkuu? Au Kuna namna nyingine tutachomoka na kuwashinda?
Dah!! Kwahiyo ndo imetoka hiyo mitano tena kwa mama?Watu tunachomana
Sana hata huku JF
Ili usiumie fikiria utekaji ulianza lini na je yeye alipokua kwenye nafasi ya kuzuia utekaji,aliuzuia au aliutetea?
Mkuu kwahiyo mmeshindwa kumlinda? kumsaidia? Why lakini? Mlimshauri aache tape ya mambo yote aliyotaka kusema? Mlijua kama yupo Tanzania? Unataka kuniambia hii ilikuwa ni suicide mission? kwamba hakuwa na mpango mkubwa wowote? britanicca wewe leo umekuwa kama wengine tu kulia?Alishauriwa Lakin si kila jambo lazima liwe tunavyotaka