MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,147
- 13,295
Ndugu yetu bila shaka tutamuona tenaAwe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Ndugu yetu bila shaka tutamuona tenaAwe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Kwa akili yako una uhakika gani hawa kupuuza?Una uhakika gani kuwa walipuuza?
We acha tuu, kuna mambo mengi yanashangaza sana Tanganyika.1. Je mwezi ujao watamwachia au?
2. Kwa nini ndugu yake ameshindwa kuomba msaada huko aliko wa makomandoo kadhaa kwa ajili ya kumwokoa miongoni mwa wazalendo wa taifa letu?
3. Upande wa wazalendo hamna wenye utaalam wa Drones?
NTumpe ujumbe gani, naweza kumfikishia
Basi Polepole alikuwa mjinga kama alikuwa ana share mipango yake na Butiku.Butiku alimuuza Polepole
Akili zake nyingi ziko wapi? Mwenye akili asingekaa Kunduchi/ Ununio na kuanza kuinanga Serikali. Hii teknolojia ya simu inakuonyesha ulipo, lazima udakweJamaa ana akili sana.
Kijana wa Magu ambaye anajua kilichomtokea Saanane na Azory sidhani kama atakuwa mwepesi mwepesi
NmMuda si mrefu policcm watamuweka kwenye Wanted list yao. Maana wameshaanza kujifanya wanamhitaji ili atoe ufafanuzi wa mashtaka yake.
Hii code mhh! Sijaambua kitu. Yaani ni Sifuri bin Sifuri😥
Ebu ongeza sauti kidogo mkuu
Ufafanuzi tafadhali
Buyobe mtu wangu 😭😭😭😭😭Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Tupe hata za ndani basi mkuu yupo hai au ameshatangulia tulie na tuinuke tena😢
Daaah!!Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Umemanisha nini hapo?!Kwenye maswala ya upelelezi hata britanicca anakuwa suspect.
Mpka ijulikane vinginevyo.
ina maana polepole alipuuza angalizo alilopewa na mwanaccm mwenzake ?Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
acheni kumchafua mzee wa watu na siasa zenu za kijinga jingaButiku alimuuza Polepole
siasa tunaiweza lakini sio siasa za vyama vingi vya siasaSiasa waafrika hatuiwezi