Aliyeiba Mkoba, simu kwa Babu aadhibiwa kimiujiza

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Miujiza mingine mingine imeshuhudiwa huko Samunge jana baada ya mtu mmoja kuripoti kwa babu kuwa ameibiwa pochi na simu. Babu alimwambia mtu huyo ambaye ni Mkenya kuwa asiwe na wasiwasi, kwani atarudishiwa vitu vyake. Babu alitangaza na kuomba aliyechukua vitu hivyo arudishe, lakini hakuna aliyejitokeza. Hapo ilibidi Babu apige maombi mafupi, ambapo muda mfupi baadaye alijitokeza mtu mmoja akiwa na vitu hivyo na kuomba msamaha.
Alipohojiwa alisema kuwa baada ya maombi ya Babu, alianza kuhisi kupewa kipigo na vitu/watu asiowaona, na kuanzia hapo akaanza kupoteza nuru ya kuona, ndipo alipoamua kwa haraka kurudisha vitu hivyo kabla hali haijazidi kuwa mbaya...
 
Kwa nia hiyo hiyo na style hiyo hiyo babu awaombee waliopora mali za wa Tanganyika..
Hasa mafisadi!
 
NATA labda niongezee nawaombee mafisadi wa nchini kwetu humu wanaokula na kushiba kwa hela ya wananchi, je babu utafanya hilo?!!
 
Alipewa Hadidu rejea. Sidhani kama hilo lilikuwepo...
 
Kwa nia hiyo hiyo na style hiyo hiyo babu awaombee waliopora mali za wa Tanganyika..
Hasa mafisadi!

Imeandikwa "Usimjaribu Bwana Mungu wako".
Wezi/Mafisadi wanajulikana na sheria ipo. Hili Mungu anawaachia binadamu kwa hekima aliyowapa walishughulikie nao Ole wao wenye mamlaka na wasifanye hivyo, maana watahukumiwa kwayo.
 
Mwaka wa maajabu huu. Sote tunatakiwa kutenda kadri Mwenyezi Mungu anavyotutaka kufanya. Nimesikia leo asubuhi.

asset.php

ALIKATAA
 
Miujiza mingine mingine imeshuhudiwa huko Samunge jana baada ya mtu mmoja kuripoti kwa babu kuwa ameibiwa pochi na simu. Babu alimwambia mtu huyo ambaye ni Mkenya kuwa asiwe na wasiwasi, kwani atarudishiwa vitu vyake. Babu alitangaza na kuomba aliyechukua vitu hivyo arudishe, lakini hakuna aliyejitokeza. Hapo ilibidi Babu apige maombi mafupi, ambapo muda mfupi baadaye alijitokeza mtu mmoja akiwa na vitu hivyo na kuomba msamaha.
Alipohojiwa alisema kuwa baada ya maombi ya Babu, alianza kuhisi kupewa kipigo na vitu/watu asiowaona, na kuanzia hapo akaanza kupoteza nuru ya kuona, ndipo alipoamua kwa haraka kurudisha vitu hivyo kabla hali haijazidi kuwa mbaya...

Duh, hii kali. Mungu alishusha mabaunsa (majini) wamtie displine. Navutiwa sana na miujiza ya Samunge. You can't compare it with the bible I know.
 
haya kweli maajabu!
wako watu wanamdharau babu kwa dawa anayotoa kwa sababu ya bei kuwa ndogo laiti kama babu angesema kikombe ni sh 50000/
wengi wangemwamini. Maajabu hayo ni kidogo yanakuja mengi zaidi ya hayo.mungu apewe sifa-amen
 
Miujiza mingine mingine imeshuhudiwa huko Samunge jana baada ya mtu mmoja kuripoti kwa babu kuwa ameibiwa pochi na simu. Babu alimwambia mtu huyo ambaye ni Mkenya kuwa asiwe na wasiwasi, kwani atarudishiwa vitu vyake. Babu alitangaza na kuomba aliyechukua vitu hivyo arudishe, lakini hakuna aliyejitokeza. Hapo ilibidi Babu apige maombi mafupi, ambapo muda mfupi baadaye alijitokeza mtu mmoja akiwa na vitu hivyo na kuomba msamaha.
Alipohojiwa alisema kuwa baada ya maombi ya Babu, alianza kuhisi kupewa kipigo na vitu/watu asiowaona, na kuanzia hapo akaanza kupoteza nuru ya kuona, ndipo alipoamua kwa haraka kurudisha vitu hivyo kabla hali haijazidi kuwa mbaya...

mmhh... maajabu mengine mkuu hiyo avata yako.. sungura anapanda kuku..???
 
Duh, hii kali. Mungu alishusha mabaunsa (majini) wamtie displine. Navutiwa sana na miujiza ya Samunge. You can't compare it with the bible I know.

Sema unachotaka, amini unavyo amini, fikiri unachoweza, kashifu unavyoweza tukana kadili ya uwezowako na hukumu kadili ya upeo wako. Sasa inakuuma nini? Kumbuka kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
 
ya mizimu for sure siyo Mungu-Jehova. (vitu vya kupigapiga .....!!!???? sounds witch craft). Mungu anadeal na dhamiri ya mtu. si kwa style hiyo

ndugu rejea ya luthu na wale malaika, unakumbuka wasodoma wale walichotendewa?.Yesu alisema tutafanya miujiza mingi kuliko aliyofanya yeye.
 
Na ni Yesu huyo huyo aliyesema mtaweka mikono juu ya wagonjwa nao watapona. si kwa style ambazo watu wanazitumia kwa kubase kwenye hiyo quotation yako. Leo hata mtu akitumia mapepo mnadai hata Yesu alisema tutafanya miujiza mingi kuliko aliyofanya yeye, hamwangalii wala kuchunguza nguvu zilizo nyuma ya hiyo miujiza. kwani shetani hawezi kufanya muujiza?
 
Hii kweli kali babu sasa anaanza kufanya miujiza, tutaona mengi kabla mwaka huu kuisha . Nazani akipiga dua zaidi anaweza kuulisha maelfu ya umati unaoenda loliondo. Wale wanaomponda babu hapo midomo watashona
 
Back
Top Bottom