Aliyegeuka Chatu

Nakumbuka kusoma hii kitu kwenye gazeti jamaa alikwenda kuoga akageuka chatu mwanamke alipohojiwa ilionekana ushirikina ulihusika hata sikumbuki mwisho ilikuwaje
 
Nimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.

Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.

wengine ndo walikuwa wanazaliwa miaka hii.
 
Nimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.

Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.

Wengi walikuwa mikoani mkuu ajira ndo zimewaleta DSM!hapa ukileta story za mbeya na arusha miaka hiyo ndo utajua wengi miaka hiyo walikuwa wapi
 
Nakumbuka kusoma hii kitu kwenye gazeti jamaa alikwenda kuoga akageuka chatu mwanamke alipohojiwa ilionekana ushirikina ulihusika hata sikumbuki mwisho ilikuwaje

Tena hakumloga kwa nia mbaya.. Alitaka kulikoleza penzi lao..
Na nadhani aliipata dawa ile kwa mganga wa asili ya Kimakonde! Tena wale wa Mozambique..
 
wakati huo nilikuwa na miaka sita tu, ila nakumbuka mabagala senior aliporudi kutoka job alikuwa akimpa taarifa izi bi mkubwa. asee umenikumbusha zamani sana
 
Ngoja nimtafute... I have developed a strong interest in this story
Sijui ni uvivu tu, au ni kitu gani kimenivutia, I just want to know more. lol
Mwali......Nimepata ujumbe wako.....

Hiyo stori ni kweli ilitokea na ilikuwa ni mwaka 1987.....Kilichotokea ni kwamba mwanamke alienda kwa mganga kutafuta dawa(limbwata) ili amuwekee mumewe kwenye chakula na maji ya kuoga.....Lengo la kufanya hivi ilikuwa ni kutaka apendwe zaidi,jamaa afe aoze kwake.....Cha ajabu ni kwamba mara baada ya jamaa kula chakula na kuoga alibadilika kuwa nyoka aina ya Chatu....Waliomshuhudia wanasema alikuwa ni chatu aliye mpole na asiye na madhara yoyote...Chatu huyo alibebwa na kupelekwa kituo cha Polisi Buguruni.....Mwanamke alikamatwa na kesi hata haijulikani iliisha vipi na hatima ya huyo jamaa ilikuwaje...

Habari hii iliandikwa sana kwenye magazeti ya Uhuru, Mfanyakazi na Daily News.....Kilikuwa ni kisa cha ajabu lakini cha kweli....

Kisa hiki kilepelekea hata mtunzi na mchoraji wa Kitabu cha Mzee Panga la Shaba(Baba Ufudu) katika moja ya matoleo yake kuweka kisa cha mwana mama aliyeenda kwa mzee Panga la Shaba ambaye alikuwa ni mganga wa kienyeji kwa lengo la kuchukua Limbwata la kumuwekea mume wake ambaye alikuwa ni tajiri sana(mtu mwenye uwezo mkubwa kifedha)....Baada ya mwana mama huyo kumuwekea dawa mume wake,mumewe alibadilika na kuwa mbwa na katika hali ya kushangaza mwanamke huyo alirudi kijijini Visiga kwa mzee Panga la Shaba na kuwa mke wa mzee huyo.......Hiki kilikuwa ni kisa kilichotungwa kutokana na tukio la yule jamaa wa Buguruni aliyegeuka Chatu....
 
dah NN how old are you ? inaonekana umekuwepo hapa duniani kitambo mpaka story ya 87 unaikumbuka vizuri
 
Asante sana Mkuu, umetupa elements nzuri za kuanzia uchunguzi.
Binafsi nashindwa kabisa kuamini kua mtu anaweza kugeuka chatu.
Gazeti zinaandika story sababu zinataka kujiuza, sio lazima iwe kweli.

Swali langu la kwanza ni hili: Watu walijuaje kua yule chatu ndio yule Mwanaume?
Chatu alikua half man half chatu au alikua ni chatu mzima mzima?
Hivi haiwezekani mama katunga hiyo story kwa kuficha story kubwa zaidi?

Imagine: Kama alimuua mumewe kwa sababu anazo zijua mwenyewe,
Au kama mume na mke walipanga kupotea kwake (kwa kukimbia majukumu fulani)
si inakua easier kusema mume kageuka chatu, so that the prosecution focusses on this joke
Kuliko kufocus on a serious case of mtu kutoweka na maiti yake kutopatikana?
 
Mwali......

Magazeti ya zamani(Uhuru, Mzalendo, Mfanyakazi, Daily News, Sunday News na baadae Motomoto) yalikuwa na waandishi waliotukuka.....Hayakuwa na waandishi makanjanja kama ilivyo sasa,kipindi hicho hakukuwa na ushindani wowote wa Kibiahsara katika tasnia ya Habari na Mawasiliano....Pia hakukuwa na ushindani wowote wa kisiasa maana ilikuwa ni kipindi cha mfumo wa chama kimoja....

Kwa walioshuhudia wanasema ni kweli tukio hilo lilitokea,jamaa alibadilika kuwa Chatu japo hakuwa na madhara....Na kama sikosei mwanamke alimtaja hadi Mganga aliyempa dawa hiyo ya kwenda kumuwekea mumewe Limbwata....

Hakukuwepo na dalili wala hisia zozote za mwanaume huyo kuuliwa na mkewe....
 
Asante sana Mkuu, umetupa elements nzuri za kuanzia uchunguzi.
Binafsi nashindwa kabisa kuamini kua mtu anaweza kugeuka chatu.
Gazeti zinaandika story sababu zinataka kujiuza, sio lazima iwe kweli.

Swali langu la kwanza ni hili: Watu walijuaje kua yule chatu ndio yule Mwanaume?
Chatu alikua half man half chatu au alikua ni chatu mzima mzima?
Hivi haiwezekani mama katunga hiyo story kwa kuficha story kubwa zaidi?

Imagine: Kama alimuua mumewe kwa sababu anazo zijua mwenyewe,
Au kama mume na mke walipanga kupotea kwake (kwa kukimbia majukumu fulani)
si inakua easier kusema mume kageuka chatu, so that the prosecution focusses on this joke
Kuliko kufocus on a serious case of mtu kutoweka na maiti yake kutopatikana?

Mwali umenifanya na mi nijiulize maswali mengi sana..
There's probably more to this, than what we assume to know!
 
Back
Top Bottom