Aliyegeuka Chatu

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,519
Kwa wale waliokuwa wakiishi Dar miaka ya 80 mnakumbuka mwaka 1987 kuna jamaa na kati ya Buguruni aliyegeuka kuwa chatu?

Hii stori ilibamba sana kipindi hicho.
 
Pleeeeaaase! Ukiona sijibu maana yake niko PM,
We tupe picha, nitakuja tu.. hata zile saa zetu.

haya cousin mi pia nataka nichomoke nirudi saa za lindo. Picha ndio nafanya mpango niziscan kwanza.
 
Dah! Enzi hizo mimi nilikuwa nachukua shahada ya uzamili nchini marekani lakini sikuwahi kusikia kitu kama hicho
 
Kopo la kwanza, la pili la tatu jamaa kageuka chatu! Nasikia alibadilikia bafuni! Nilikuwa natoka shule that day, nilibahatika kuuona ule umati buguruni polisi uliokuwa ukitaka kumuona chatu! Bahati mbaya nilikuwa kwenye kilakshari cha pugu kkoo nikashindwa teremka!
 
Jamani kwa mwenye story nzima kuhusu hiyo ishu aimwage humu JF kwani sisi wengine kipindi hicho hata darasa la kwanza hatujaanza.
 
Inavyosemekana aligeuka mbele ya watu halafu akapelekwa kituo cha polisi ambako kuna watu pia walimuona.
Hapo alikogeuka mbele za watu ilikua ni watu ngapi?
So polisi waliona Chatu, hawakuona mtu sio?
 
Back
Top Bottom