onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,117
Seriously??Nilikuwa nina miaka 27 baada ya kumaliza chuo UDSM
Seriously??Nilikuwa nina miaka 27 baada ya kumaliza chuo UDSM
Yes dearSeriously??
Be blessedYes dear

Tumuite Mshana Jr mkuu kuna lolote unalofahamu kuhusu hii storyHii habari niliipata vizuri nikiwa bado primary, pamoja na kuwa huu uzi sikuwahi kuuona ila mayala na mshana nilitegemea kungekuwa na post zao.
Hii story ilitambaa sana na kwenye magazeti, hasa magazeti ya Fahari na WatuNimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.
Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.