Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

Ewe makamu mwenyekiti wetu wa Chaputa gang, najua ulikula kiapo cha kutetea chama.

Ila truth be told wanachama wetu baadhi wenye okra wanalia bhana, mimi siwezi ilalamikia nyeto maana ime nivusha hadi nchi ya ahadi.
Sio kwamba naitetea, mm n mhusika na sijawah kuona hayo mnayoyasema
 
Iyo dawa haipo,izo dawa ni scam zitakuharibu kabisa.
Mytake usichanganyikiwe na wale wa kwenye porn kama unavyoona duniani kuna watu warefu na wafupi sana, hivyo basi ata maumbile ni genetics wapo wenye madogo na wengine makubwa kiasilia kwa kurithi.
pia kama ilivyo kwenye music industry kuchagua mavideo vixen warembo zaidi basi hata kwenye porn industry wanafanya hivo huchagua wale wenye maumbile makubwa zaidi kuvutia biashara yao.
Hope this helps.
 
Tafuta pin ile ya kubania nguo, chukua pin toboa katikati ya hio mashine mpaka itokee upande wa pili kisha bana subiri nusu saa mpaka saa limoja, chomoa pin muda huo utakua unavuja damu chukua spirit au iodine jipakae anza kuuguza kidonda hadi kipone utakua na bonge la ndoga, anza kutembeza rungu komred kipepe
Hahaha daaa unataka kuua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom