Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,942
- 23,225
Maugeni ya kwenye 'tasnia'. Faeu john ndiyo pombe gani wakuu?We utazima kabla saa tano haijafika, kuwa makini mkuu. Tatizo la faru John inazimisha popote pale tofauti na beer.
Daah wapo wa kutoshaHapo kuna mabarmaid wengi waliojaziajazia kwa nyuma mkuu
K-vant au nyaki network yangu huwa inakata..maana nikianza kazi huwa siachi.
Pombe ni bonge la kinywaji apa nipo faru john ya pili naona net inakata na kurudi.
MATHAYO 5:22, 29, 30Yani hapa niko na kinyaji kila nikinywa naskilizia kabisa vitu vinavyoungua huko ndani, lakin ntafanyaje na hali ya uchumi imebana
"Ngurue" ni nini kwani?Heri ninywe pombe kuliko ngurue
Nimecheka sana nduguMa mbegesa Corona watakufa wachina hadi wajambe...ngozi nyeusi na korona wapi na wapi....
Sisi tuna matatizo yetu sugu na Mwenyezi Mungu anayajua sisi Korona...sijui Toyota Corolla wapi na wapi?
Penda uisikie kwenye redio tu. Kuna wenzio waliifakamia wakajikuta wamefanywa vibaya na ushahidi wa kutosha ukaachwa. Hadi tunavyoongea mmoja alitorokea kusikojulikana mwingine swala tano.
Bonde la Baraka na pombe wapi na wapi? we kanywe maji ya uzima chief....leo mapemaaa kabisa nishajibust nakazia swaumNatamani nisionje pombe maishani mwangu.
hakuna namna tutafanyaje sasa maisha yenyew ndo haya haya...
Yani hapa niko na kinyaji kila nikinywa naskilizia kabisa vitu vinavyoungua huko ndani, lakin ntafanyaje na hali ya uchumi imebana