K-vant au nyaki network yangu huwa inakata..maana nikianza kazi huwa siachi.
Uko pande zipi kiongozi?Ndiyo sehemu pekee hata maskini wa kipato cha chini na fukara kama mimi anaweza ku enjoy starehe ya muda na akasahau matatizo yake...akatabasamu tena...
Nilikuwa na ka elfu kumi, nimepiga light 6 hela imekata nimebakiwa na na buku tu maana bia ni buku jero hapa... sasa muda huu nakwenda kwa wakala nikatoe ka akiba kangu.. kabla hawajafunga.
Nani anaijua kesho bwana....bia ni tamu sana...na maisha ni mafupi...
Mi ni maskini jeuri, sipendi ushauri wa kijinga...
Bia ni taam aisee!! Nachokipenda inakusahaulisha ujinga ujinga unaendelea...!! hata ni kwa muda sijali...!!
Vizuri mkuu, mimi ukitoa spirit beer nakunywa kama nimekosa maziwa freshK-vant au nyaki network yangu huwa inakata..maana nikianza kazi huwa siachi.
Ndiyo sehemu pekee hata maskini wa kipato cha chini na fukara kama mimi anaweza ku enjoy starehe ya muda na akasahau matatizo yake...akatabasamu tena...
Nilikuwa na ka elfu kumi, nimepiga light 6 hela imekata nimebakiwa na na buku tu maana bia ni buku jero hapa... sasa muda huu nakwenda kwa wakala nikatoe ka akiba kangu.. kabla hawajafunga.
Nani anaijua kesho bwana....bia ni tamu sana...na maisha ni mafupi...
Mi ni maskini jeuri, sipendi ushauri wa kijinga...
Bia ni taam aisee!! Nachokipenda inakusahaulisha ujinga ujinga unaendelea...!! hata ni kwa muda sijali...!!
Hapo kuna mabarmaid wengi waliojaziajazia kwa nyuma mkuuPombe ni bonge la kinywaji apa nipo faru john ya pili naona net inakata na kurudi.
Light inakufanya ukae bar muda mrefu zaidi kabla network haijaanza kusumbua. Faru jon unatakiwa uinywe siku za muambo lkn kama jumamosi una pesa ya kutosha, light is the way to go.
Mkuu pambana yajayo yanafurahishaPombe ni bonge la kinywaji apa nipo faru john ya pili naona net inakata na kurudi.
ππππ na wamewapokea wale watalii kutoka China pale airport JKNIA wakati nchi nyingine zinazojari wananchi wake hawapokei watu toka katika nchi zilizoathirika na hili dubwasha called CONV.
We utazima kabla saa tano haijafika, kuwa makini mkuu. Tatizo la faru John inazimisha popote pale tofauti na beer.Pombe ni bonge la kinywaji apa nipo faru john ya pili naona net inakata na kurudi.
Nina safari nne kichwani ya tano ipo mezani,kuna kabaa medi kamoja apa Dar Safari nishaanza kumuona mzuri namuita ita kila muda,hii si dalili njema ngoja niende home sasa....pombe tam sana jamaniNdiyo sehemu pekee hata maskini wa kipato cha chini na fukara kama mimi anaweza ku enjoy starehe ya muda na akasahau matatizo yake...akatabasamu tena...
Nilikuwa na ka elfu kumi, nimepiga light 6 hela imekata nimebakiwa na na buku tu maana bia ni buku jero hapa... sasa muda huu nakwenda kwa wakala nikatoe ka akiba kangu.. kabla hawajafunga.
Nani anaijua kesho bwana....bia ni tamu sana...na maisha ni mafupi...
Mi ni maskini jeuri, sipendi ushauri wa kijinga...
Bia ni taam aisee!! Nachokipenda inakusahaulisha ujinga ujinga unaendelea...!! hata ni kwa muda sijali...!!
Ha ha ha konyagi baba huwa ina tabia ya kukata mawasiliano kati ya kichwa na kiwiliwili kuwa makini sana.Yani hapa niko na kinyaji kila nikinywa naskilizia kabisa vitu vinavyoungua huko ndani, lakin ntafanyaje na hali ya uchumi imebana