Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Sikubaliani kitendo walichomfanyia jamaa cha "Kumuondolea uanaume" haya sasa ona mahakama imeona hana hatia iweje polisi walichukua sheria mkononi? Namshauri jumanne awashitaki IGP na wampe fidia.

Kitendo hiko si cha mara ya kwanza kufanyiwa watu hata Dr ulimboka na yeye walimfanyia hivyo hivyo.
 
Si kweli Hiyo kitu, na naamini huwezi kuthibitisha. Maneno ya kusikia hayo.
Case ngapi za watu kufa kwa mateso kwenye vituo vya polisi umesikia na miili yao kususwa kwa mwaka huu tu 2018?? Kama sio nyingi

Kama ni kweli au sio kweli omba siku wewe au ndugu yako apelekwe staki shari

-utabanwa mapumbu
-utaingizwa vijiti
-utalawitiwa

Wale chronic huuliwa na wengine mateso yakiwa makubwa hufa na miili yao hutolewa

Usipende kubisha imradi kubisha tu

Omba usiingie kule

Je staki shari unajua hali inakuwa vp?
 
Nliposema kuhusu mti msema kweli kuna watu humu Jf wataweza fiikiria masihara kumbe mambo ambayo yapo
Vp we ulikuwa na msala gani tena

Ova2
Tuelezee basy huo mti msema kweli inakuwaje???
 
Hii haihitaji Mimi kufuta comment yangu Au Wewe kukubali Au kutokubali

Unadhan hao waliokiri Na kushiriki kutoa Ushirikiano mpaka kuwapata wauaji wote walipewa chocolate au bugger?

POlisi kutesa watuhumiwa ipo Dunia nzima

Rejea Mateso ya Guantanamo bay Kwa Watuhumiwa Sio Wahukumiwa wa ugaidi!

Unateswa utoe ushirikiano ikionekana huna hatia utadai fidia

Unadhan kuna njia gani ya kumlazimisha Mtu atoe ushirikiano zaid ya Mateso?
Mateso yapo ila sio udhalilishaji na kuna kanuni,njia za interrogation ila sio udhalilishaji unajuwa kwanini kuna NGO's za kutetea hawa wahalifu ,kupinga udhalilishaji sio kila ya mateso huruhusiwa
 
Case ngapi za watu kufa kwa mateso kwenye vituo vya polisi umesikia na miili yao kususwa kwa mwaka huu tu 2018?? Kama sio nyingi

Kama ni kweli au sio kweli omba siku wewe au ndugu yako apelekwe staki shari

-utabanwa mapumbu
-utaingizwa vijiti
-utalawitiwa

Wale chronic huuliwa na wengine mateso yakiwa makubwa hufa na miili yao hutolewa

Usipende kubisha imradi kubisha tu

Omba usiingie kule

Je staki shari unajua hali inakuwa vp?
Hayo umeshuhudia Au umesikia?

Ukifatilia post zangu Vizuri utaelewa kuwa sifahamu kuhusu staki Shari, na ndio ninachouliza hapa na kutaka kufahamu, pako vipi mkuu?
 
Ndani kwenyewe upande wa wanaume ukiwa legelege utasafisha sana choo au sehemu ya kukaa unambiwa kaa karibu na chooo Huko teh teh

Ova
Hahahha....kuna muda huwa tulikuwa tunaenda kuwasalimia wanaume...basi wanatiaje huruma.
Hahahha....tukienda chooni utawasikia wanaume wanasema waje kutusindikiza.
Maana ukienda toi lazima upitie selo ya wanaume.
Hajajaj.....ila tulizoeana sana
 
Haha haha

Ova
 
Haha haha

Ova
Yah, iko hivo.
Kuna muda nilikuwa natamani maisha yale ya ndani.
Ni kama familia mpya nilikutana nayo.
Nilipata kujifunza maisha, urembo, mapenzi na ujasiriamali kutoka kwa watuhumiwa wenzangu.
Niliwakumbuka askari wa mule...na maisha ya mule kwa ujumla
 
Great experience nadhani hauto kaa usahau katika maisha yako yote

Nadhani muda mwingine tunapitia katika wakati mguu kujifunza kitu katika maisha

Nyakati ngumu nazo zina furaha zake bhana[emoji12][emoji12]
 
Jela haina mwenyewe ndg zangu nawaambia,
Yeyote yule jela anaweza akafika,
Wengi wako jela kwa makosa ,
Wengine wako jela kwa kusingiziwa.
Nalog off
 
Yah, iko hivo.
Kuna muda nilikuwa natamani maisha yale ya ndani.
Ni kama familia mpya nilikutana nayo.
Nilipata kujifunza maisha, urembo, mapenzi na ujasiriamali kutoka kwa watuhumiwa wenzangu.
Niliwakumbuka askari wa mule...na maisha ya mule kwa ujumla
Ile ni familia mpya

Ova
 
Great experience nadhani hauto kaa usahau katika maisha yako yote

Nadhani muda mwingine tunapitia katika wakati mguu kujifunza kitu katika maisha

Nyakati ngumu nazo zina furaha zake bhana[emoji12][emoji12]
Yap.
Nilijifunza maisha na mengineyo.
Kuna wakati inabidi ukubaliane na matokeo ili maisha yaendelee.
Maisha huwezi jua ya kesho.
Ni kujiandaa tu mpenzi
 
Ile ni familia mpya

Ova
Ila wakati naingizwa nililia lisaa lizima.
Ila nilipewa moyo na wenzangu.
Nawakumbuka sana wenzangu wa mule.
Sijui waliishia wapi maana niliwaacha
 
Ila wakati naingizwa nililia lisaa lizima.
Ila nilipewa moyo na wenzangu.
Nawakumbuka sana wenzangu wa mule.
Sijui waliishia wapi maana niliwaacha
Wanakuwa wametoka au la
Hata mkiwa Jela Siku ya kesi yako kuna wafungwa na askari magereza wanakupanga namna ya kusimama mahakamani,wafungwa kwenye sheria wako vizuri sana hasa wale waliyokaa mudaa mrefu

Yeah.
Kuna mdada nilikutana nae ndani...alinipa moyo sana...sana.
Basi nikajihisi niko sehemu salama.
Nilishakaa selo nyingi, Oysterbay, Mabatini, Central, Boko beach...ila kutokana na sifa za Stakishari nikaogopa.
Kumbe wala...polisi ni rafiki zetu tu
 
Sitaki Shari wanawa Sulubu wale wenye kesi za robbery tu ndomana utaona usiku askari wanakuja kumtoa mtuhumiwa selo wanampeleka kwa mahojiano zaidi Huko sasa ?

Ova
 
Back
Top Bottom