Alinitenda, aliniumiza, nataka kumuadhibu

Alinitenda, aliniumiza, nataka kumuadhibu

Kwanza niseme tu kwamba huyo dada bado unampenda ndio maana roho inakuuma mpaka baada ya miaka minne.....
Umpe adhabu ya nini? Alipoondoka aliondoka na dushe yako?? It is a free country....kuwa na mpenzi haimaanishi kwamba unamiliki moyo wake. Ana haki ya kufanya maamuzi yanayohusu maisha yake binafsi....humtaki mwsmbie tu kwamba sikutaki.
msimamo wa aina hii kwa kiumbe jinsia ya kike ni hatari kwa maisha ya kimahusiano ningewafumba wasiuone mabinti wooote, Narudia tena ni hatari na haufai.
 
4 years away alikua ameweka plasta kwenye papuchi au ndo alikua anagawa kwa kila rika..?? angalia kijana asije akawa

ndo yeye anakuja kulipa kisasi kesho kutwa tukakuzika na kilo 5 narobo..halaf unachowaza sio ujanja!!!

i like this,well said mr
 
Before you embark on a Journey of Revenge dig two Graves..

Hio quotation ina maana kwamba mara nyingi kama sio zote ukilipiza kisasi mwisho wa siku unajiumiza wewe na muhusika pia
Is this some kind of a threat?
Nuh, I ain't gonna get scared easily, For i know wattam up to.
 
Sasa visasi vya nini mkuu? kwanza kwenye story yako umesema kwamba ''hukutaka wala kuhitaji sana malumbano na kwa roho safi uliachia behewa likatike'' Mpotezee tu, na sio ajabu yeye ndo anakuja kukumaliza sasa
Asante kwa angalizo. By the way,
"It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle"
Hii signature yako;
This attitude, and way of thinking is nothing but total Madness-Thamahani lakini.

 
Mjasiria nakubaliana na wewe sana Lakini pia Dalalitz kama unataka kumhukumu je, umejiuliza nikwakiasi gani UMEKUA UKIMKOSEA MINGU WAKO?kama ukijitathmini basi Mungu atakupa baraka na reheme zake kwakua hukumu anayo Mungu..
sikushauri urudiane au usirudiane nae lakini nakusihi usimhukumu bali Muombe Mungu akusaidie ushinde vishawishi.
Kiumbe wa jinsia ya kike akishakujua kuwa wewe ni wa kusamehe, hukuchukulia poa kila kitu na ujitaarishe kugeuzwa bushoke.
Hata Mungu kasema jisaidie nikusaidie. We, nikae kimya atajifunza lini? Atazoe kutenda kama si mimi baadae basi kwa mwingine.
 
Kikatae kikombe hicho cha kumuadhibu; Kumbuka Kiendacho hurudi; ni lazima yatamsibu makubwa huko mbeleni pasi na wewe kuhusika na kwa hiyo utakuwa umekwepa dhambi ya kulipiza kisasi. forgive but do not forget; hilo ni darasa kubwa sana kwako; pole sana
Okay, nimekuelewa. Asante kwa busara zako.
 
Alikuumiza unataka kumuadhibu?
1.Lengo ni kufanya ajifunze kupitia mimi na asije akathubutu kufanya kama alivyonifanyia mimi, Labda nikuulize nawe hapohapo Kumbe, atajuaje kuwa alikosea-Kwa msisitizo?
2.Adhabu zipo nyingi na sina maana kufanya jinai, kwani niliposema ameniumize unadhani nilimaanisha kuwa amemwaga damu yangu? La hasha.
3.Yaweza kuwa ndio, na hapana vilevile kutegemeana na mazingira, Zingatia mimi nafanya mchakato wa kumfunza kwanza hayo mengine ni nje ya wigo wa mada hii. [/QUOTE]
 
Umpe adabu kwani ulimtolea Mahari au posa labda ulikuwa unamkopa kwenye mgegendo acha hasira sasa wa nini kurudia matapishi uliotapika songa mbele
 
Is this some kind of a threat?
Nuh, I ain't gonna get scared easily, For i know wattam up to.

Not a threat just a fact of life..., revenge is not always one sided.., nadhani ni bora ufuate another fact of life..

"If you wait by the river long enough, you will see the bodies of your enemy float by.."

Ikimaanisha sometimes hakuna sababu ya kuangaika kuwamaliza maadui/waliokutenda ukiwaacha soon or later watatendana wenyewe kwa wenyewe au mwingine atamtenda...
 
Kwani...kuna tatizo gani mtu akidhani kuwa wewe sio chaguo muafaka kwa sasa, lakini baadae akaona unafaa?! Hukuwa tayari wakati yeye yuko tayari, mkaachana kwa ridhaa za wote wawili, hata kama mioyo iliuma...sasa hivi ameona muda muafaka kurudi...amua moja, unamtaka bado rudianeni..humtaki muambie uachane naye. Adhabu kwa nini alichokosa!? Ni wewe hukuwa tayari...si yeye!
Aliekuacha kwa sababu akirudi lazima kuwe na sababu, Kwangu mimi huo ndio uanamume na kumfunza ni jukumu langu kwanini nisingemvamia kipindi yuko kivyake? Pili,Kuwa tayari kwangu sawa, Vipi kuhusu vijineno vyake vya ukakasi?
Nooooooo, Nomba niachaeni haiwezekani lazima alipie gharama japo kidogo.
 
Wew ni nani kumuadhibu mwenzako...tena hio ni one sided story vip unajua na yeye ni yap ulimtendea ukamuumiza???inashangaza jins tunavyojifanya malaika na kuona makosa ya wengine......kama kwel alikuumiza Mungu ndo atadeal nae sio wew
Brrrrrr, Shosti yako atanieleza tu. Hata usemeje.
 
kwa experience yangu
hakuna adhabu nzuri kama moving on na kumpuuzia mtu
ukishindwa kumpuuzia inamaanisha utamchukia na kumchukia ina maana yupo akilini kwako like it or not
kama una uwezo wa kukaa nae mbali fanya hivyo
unaeza sema unaenda cha mwisho unajikuta mwenzio kajipanga huchomoki
nice.jpg nice.jpg Umeeleweka sana.
Btw, Nimekapenda hako katoto kunako cover-pic yako, Ka-ancle nini?
 
Mnapo ingia kwenye mahusiano mnatakiwa kujua kuna kufurahi na kuumia!
Matarajio yako yalikuwa makubwa maka vile uliweka ahadi na malaika kumbe binadamu!

Kwa maandishi yako hapo mwisho unaonesha huja ujakomaa vilivyo na unatakiwa kuumizwa kama Mara mbili tena na wala hutafukiria kulipiza kisasi bali utachukulia ni part ya mahusiano!

Na kushauri umpe adhabu ya kumpuuza,ina mtosha maana unatakiwa kujiuliza utatoa adhabu kwa wangapi? na utaumiza wangapi?umejuaje kama huto umizwa tena?

Kama unaogopa vita achana na kazi ya uanajeshi!
Sasa wewe umeamua kunichekesha tu ndugu haya lakini nimekusikia.
 
Umpe adabu kwani ulimtolea Mahari au posa labda ulikuwa unamkopa kwenye mgegendo acha hasira sasa wa nini kurudia matapishi uliotapika songa mbele
Kumbe sijamtolea mahari anajisogeza nini tena kwangu ilhali alishasonga mbele?
Vikauli vyenu vya rejareja kama hivi ndio huwa vinakera balaa. Na swala la kukopwa au lah kwani mmegeuka wafanyabiashara? Tutaanza kushinikiza basi mnunue na nyie mashine za kulipia ushuru na risiti pia mtoe ili twende sawa na msizurumike sawa?
 
Not a threat just a fact of life..., revenge is not always one sided.., nadhani ni bora ufuate another fact of life..

"If you wait by the river long enough, you will see the bodies of your enemy float by.."

Ikimaanisha sometimes hakuna sababu ya kuangaika kuwamaliza maadui/waliokutenda ukiwaacha soon or later watatendana wenyewe kwa wenyewe au mwingine atamtenda...
I can smell a scent of truth in your wisdom (semantically) .
However,
I can't just let this pass by;
"We Can Not all be GREAT THINKERS (Sadly), but Thankfully We Can All be Part of JAMII"
Sorry but, I find your signature message - derogatory.



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom