....mkuu...
Kosa ulilifanya mwanzo wakati mnaanza mahusiano..kama msichana huna mpango nae..na huna malengo kwanini una mtongoza...??..
Kama shida yako ni papuchi mbona wasamalia wema kibao tu wanauza mbunye..tena kwa bei nafuu tu...??
Ulikosea ulipokosea ni pale ulipomweleza kuwa kwake unasuuza rungu tu....unapoamua kuanzisha mahusiano na mdada lazima uwe na dira...lazima ujiulize kwanini nipo kwenye mahusiano...na ninataka nini kwenye mahusiano haya...otherwise mtakuwa mnapotezeana muda ambao ni mali.
Kwa mtazamo wangu wewe ndiye unastahili adhabu...