Huna sababu ya kumpa adhabu. Desperate times kwake hizi..kula wikiendi na bi mdogo huyo, after all she's a free bird, anatua mti wowote, wikiendi hii kwako..ijayo kwa mwingine...mie ningelamba afu namwambia next weekend gf anakuja so atue mti mwingine.
Haipaswi kuyaacha makosa mengine kwenda bila adhabu.Kwan lazima watu mkiachana muwe maadui had visasi???personally naona wew ndo una tatizo..maybe na wew hujapata mtu wa kusettle nae...but kama una babe wako na unamfeel.....ex anabaki kuwa ex wala mawazo ya kisasi hutoyapata,,,,.ushauri wangu ziba ufa wako kabla ya kuhangaika kubomoa ukuta wa mwenzio
Haipaswi kuyaacha makosa mengine kwenda bila adhabu.
Vinginevyo watu hawatajifunza- Fikiria sana na utakubaliana na mimi.
Alitokea kuwa binti mzuri aliyenivutia machoni mwangu.
Tabia na busara zake vilistahili kusifika kwa mujibu wa nilivyomsoma na kumfahamu
ingawa ni kwa muda mfupi (kadiri ya miezi 6 ya uhusiano wetu)
Kifupi alikidhi vigezo vyangu binafsi,
Alistahili kuwa mama mtarajiwa wa watoto wangu wazuri kama tungejaaliwa kuwa pamoja.
Mwenyezi Mungu hamfichi mja wake.
Mbali ya kuwa mtaratibu, mkimya na mwenye kuonyesha kunijaali katika muda mfupi.
Binafsi, nilikuja kung'amua kuwa alikuwa yuko na kimuhemuhe cha kuingia katika ndoa na pengine ndio sababu ya yeye kuwa mnyenyekevu wa aina ile kwangu.
Tofauti na mie, Mimi mishale yangu ya uhusiano bado ilionyesha bado niponipo kamili kwa kipindi kile.
Ilinibidi nimuweke wazi juu ya msimamo wangu, kwa sababu sina hulka ya kucheza na muda wa wengine.
Basi bwana, binti kwa ujinga wake (nadhani) Kwakuwa pengine alikuwa 'desparate' na ndoa akaamua kujivisha Mabomu hivyohivyo.
Liwalo naliwe akiamini kuwa pengine nitabadilika mbele ya safari.
Akajiachia, Mguu-pande mguu sawa, Kanivulia 'Thong' yake.
Nifanyeje? Mzee mzima 'nikajilia' vyangu.
Maisha yakawa yanaenda.
Mimi niliamini muda muafaka ukifika hakika nitamvika Pete ya uchumba kidoleni mwake na mchakato wa kuhamia kambi ya wala 'Tunda kwa idhini rasmi' basi tutafanya hivyo (Nililenga kum-surprise baadae kidogo)
Baada ya miezi sita kupita katika uhusiano wetu, taratiiiiiibu binti akaanza visa vya hapa na pale.
Kwakuwa nilimpenda nilijaribu kumsihi kuwa asiwe mapepe awe na subira kwa kuwa siku zote mazuri hayahitaji pupa.
Hasa, Ukizingatia kuwa kuamua na kulikabili jambo ambalo tungedhamiria kulienendea (Ndoa)
Si la kukurupuka,Tungehitajika kujipanga haswa.
Lakini binti aliona kama vile namchelewesha,
Akaongea mengi sana.
Na hapo ndipo nilipoanza kuyaona kwa kiasi makucha na rangi yake halisi.
Nyodo zenye nakshi ya dharau kwa mbali vilitawala.
Nilijiaminisha kuwa kama hana Mtu anemtia kiburi (Kumshikia akili)
Basi atakuwa kapata bwana mtarajiwa aliemuahidi ndoa.
Mimi sikutaka wala kuhitaji sana marumbano, kwa roho safi niliachia behewa likatike.
Moyoni Iliniuma, na nilisikitika sana lakini sikuwa na jinsi.
Yapata miaka minne sasa. Naweza sema kidonda na maumivu ya uhusiano wangu na binti huyu vilishapona ingawa Naweza kukiri kuwa makovu bado yapo na yananipa kumbukumbu mbaya juu ya uhusiano wangu na binti huyu.
Hata hivyo ni wikimbili tu zilizopita;
Huyu bi dada kaanza mawasiliano mfulizo na mimi mithili ya mvua za masika.
Ni wazi yupo wanguwangu kama vile anataka kurudishia minyororo ya behewa la uhusiano wetu ambalo alilikata yeye mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe.
Tumeongea mengi sana Lakini kikubwa kuliko yote.
Eti, Angefurahi kama tunge-spend weekend moja pamoja.
Nilipomuuliza ki-intelijensia kama hana mwanamme, akanijibu kifupi tu eti, "I'm free like a bird and ready to mingle."
Hajui tu anazidi kunitia kichefuchefu.
Nakiri kuwa binti huyu aliniumiza, alinitesa na alinikera
Kwangu mimi anastahili adhabu na si ndogo.
Wakati bado naifikiria adhabu ya kumpa natoa nafasi kwa wanajopo.
Kama kuna mwenye adhabu ambayo anadhani ni stahiki kumpa huyu binti au maoni ya nini nifanye pengine asisite.
kunipa.
NAWASILISHA.
kuelewa nini? Acha ubinafsi wewe eti umetendwa, umetendwa nini hapo?Kuelewa nako ni tatizo.
Huko alikoenda walimwahisha?kama jamaa alimchelewesha?
Mimi ningemtaftia wahuni wenye ugwadu wa kutosha wampige mtungo huku wanamrekodi. Hiyo ndio adhabu ndogo ningemchagulia.

Dogo kwako laweza kuwa kubwa kwangu na kinyumechake.Kwani...kuna tatizo gani mtu akidhani kuwa wewe sio chaguo muafaka kwa sasa, lakini baadae akaona unafaa?! Hukuwa tayari wakati yeye yuko tayari, mkaachana kwa ridhaa za wote wawili, hata kama mioyo iliuma...sasa hivi ameona muda muafaka kurudi...amua moja, unamtaka bado rudianeni..humtaki muambie uachane naye. Adhabu kwa nini alichokosa!? Ni wewe hukuwa tayari...si yeye!