Alinitenda, aliniumiza, nataka kumuadhibu

Alinitenda, aliniumiza, nataka kumuadhibu

....mkuu...
kosa ulilifanya mwanzo wakati mnaanza mahusiano..kama msichana huna mpango nae..na huna malengo kwanini una mtongoza...??..
kama shida yako ni papuchi mbona wasamalia wema kibao tu wanauza mbunye..tena kwa bei nafuu tu...??
ulikosea ulipokosea ni pale ulipomweleza kuwa kwake unasuuza rungu tu....unapoamua kuanzisha mahusiano na mdada lazima uwe na dira...lazima ujiulize kwanini nipo kwenye mahusiano...na ninataka nini kwenye mahusiano haya...otherwise mtakuwa mnapotezeana muda ambao ni Mali.
kwa mtazamo wangu wewe ndiye unastahili adhabu...
 
mkuu si ulishamove on na maisha yako endelea nayo tu huna haja ya kulipiza kisasi, kama huna mahusiano sio mbaya kupasha kiporo si unajua hakihtaj moto mwing
 
Kwenye maelezo yako unahisi umeongelea ulivyotendwa ama unatafuta cheap sympathy tu!!!

Ndugu, Si tu kuwa hukuelewa maudhui ya Uzi huu, Kiswahili pia inaonekana ni tatizo kubwa kwako kukiandika, Pole.

Chukuwa somo la bure.
KIUANDISHI na KIMANTIKI;
Maneno yako:"Kwenye maelezo yako unahisi umeongelea ulivyotendwa ama unatafuta cheap sympathy tu!!!"
Sentesi yako hii haieleweki kama unaniuliza ama unanieleza.
-Mapangilio wako wa maneno ni dhaifu katika kujenga hoja.
-Uchaguzi wa maneno si-sahihi, pamoja na matumizi ya alama za kiuandishi ndio hoooovyo kabisa.

*Matumizi ya alama za mshangao (!!) katika hali yoyote hapo juu hazikustahili kuwepo.

Kukusaidia tu;
Kwa kuwa hujaelewa maudhui kusudiwa yaliyobebwa na uzi huu (Hoja kuu) hali inayopelekea nilazimike kukupa darasa la ziada tena lisilohusiana kabisa na uzi mkuu,
Siku nyingine unaweza kupunguza usumbufu usiokuwa wa lazima kwa kufanya yafuatayoi;
MOJA:Kaa pembeni ili kutoa nafasi kwa wenye hoja (Walioelewa mada) wajadili kwa nafasi bila kero kama ufanyavyo sasa.
MBILI:Jifunze namna ya kujenga hoja na kuandika kwa usahihi kutoka kwa wengine.

**Kumbuka si kila uzi unaoupitia au kuuona unalazimika kuchangia mawazo, Mengine hasa yaliyokupita uelewa ni busara kuyaacha yajadiliwe na wenye kuelewa.
 
1.Lengo ni kufanya ajifunze kupitia mimi na asije akathubutu kufanya kama alivyonifanyia mimi, Labda nikuulize nawe hapohapo Kumbe, atajuaje kuwa alikosea-Kwa msisitizo?
2.Adhabu zipo nyingi na sina maana kufanya jinai, kwani niliposema ameniumize unadhani nilimaanisha kuwa amemwaga damu yangu? La hasha.
3.Yaweza kuwa ndio, na hapana vilevile kutegemeana na mazingira, Zingatia mimi nafanya mchakato wa kumfunza kwanza hayo mengine ni nje ya wigo wa mada hii.
[/QUOTE]

Haya endelea na mchakato wa kumfunza.....
 
Tenda wema kisha nenda zako, ukja kusaliti na wewe je? Mwenzio aanze kutaft kisas au? Na mtaishije pembua mchele na mawe weka pembeni.
 
Adhabu nzuri na itakayomfaa ni moja tu adhabu yenyewe ni kunipa namba yake ili nimseme
 
Ndugu, Si tu kuwa hukuelewa maudhui ya Uzi huu, Kiswahili pia inaonekana ni tatizo kubwa kwako kukiandika, Pole.

Chukuwa somo la bure.
KIUANDISHI na KIMANTIKI;
Maneno yako:"Kwenye maelezo yako unahisi umeongelea ulivyotendwa ama unatafuta cheap sympathy tu!!!"
Sentesi yako hii haieleweki kama unaniuliza ama unanieleza.
-Mapangilio wako wa maneno ni dhaifu katika kujenga hoja.
-Uchaguzi wa maneno si-sahihi, pamoja na matumizi ya alama za kiuandishi ndio hoooovyo kabisa.

*Matumizi ya alama za mshangao (!!) katika hali yoyote hapo juu hazikustahili kuwepo.

Kukusaidia tu;
Kwa kuwa hujaelewa maudhui kusudiwa yaliyobebwa na uzi huu (Hoja kuu) hali inayopelekea nilazimike kukupa darasa la ziada tena lisilohusiana kabisa na uzi mkuu,
Siku nyingine unaweza kupunguza usumbufu usiokuwa wa lazima kwa kufanya yafuatayoi;
MOJA:Kaa pembeni ili kutoa nafasi kwa wenye hoja (Walioelewa mada) wajadili kwa nafasi bila kero kama ufanyavyo sasa.
MBILI:Jifunze namna ya kujenga hoja na kuandika kwa usahihi kutoka kwa wengine.

**Kumbuka si kila uzi unaoupitia au kuuona unalazimika kuchangia mawazo, Mengine hasa yaliyokupita uelewa ni busara kuyaacha yajadiliwe na wenye kuelewa.

hujielewi ni nn unataka kufanya.....

inawezekana ni ugeni jukwaani, hivyo kukosa kwako staha ni jambo wakongwe tumezoea.

shida yako kubwa ni uzinzi, tena unaamini unapozini na mwanamke, unamkomoa au unamkomesha. hapo umepotea.

ushauri. kwa kuwa alikusaidia kuacha uzinzi japo sijui km kweli uliacha, hebu endelea kuacha na amua kuokoka na umkabidhi Kristo maisha yako. hapo makovu yote yataisha.

kwa Yesu, hatulipi baya kwa baya, formula ni baya kulipwa na jema.

mkubwa, tusi halitumwi
 
Hakuna bonge la adhabu kama kumuingore na huku yey akijua una mu ignore, she z jus a ----- huyo. So hata ukitaka kumtenda itakuwa ni michezo yake ya kila siku
 
Naona unaletewa chakula mdomo unakisukuma na masharubu #Uzembe Plus huo unataka kuampa adhabu wakati bado unengeneka lol Usitishie kujamba wakati una -------- sina maaaha hiyo lakini :tonguez::A S-rap:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom