Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,670
Hayajakukuta, yakikukuta yawezekana ukafanya zaid ya kuruka ukutaMhhh...,!! Nakupa pole ingawaje pia najua hustahili hiyo pole..!! Kisasi siku zote sio suluhisho la matatizo..! Tena hicho chako cha "kuruka ukuta"... Mmmh moyo huo sina, ingawa wanaume wenzangu wengi mtapingana nami..!!