Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?

unajua ifike sehemu tusionekane siye ndo tunamakosa sana ikitokea mwanamke kakosea sio kila mwanamke haridhiki wengine wanafundishwa na waume zao kutoridhika

hapa mwanamke akijua kuwa Rav 4 kapewa Entim lazima adate na ukute anamuamini sana mwanaume wake kinachofuata hapo itategemea na mwanamke
 
Pole mkuu sio kila mwanamke anathamini wapi katoka/katolewa na mtu huyo ukimfuatilia sana atakupa a sad story ambayo itakuwa kichapo tosha katika maisha yake
 
Ubaya unaotendewa haiwezi kufutika kwa kulipa kisasi,ukweli ni fimbo tosha kwamtu msaliti ,pain is temporary japo inauma haswa ,wanawake wako wangi tu heal ur heart kwanza
 
I don't hit and run(atleast not anymore)
Nipo kwenye relationship(s) lakini nakua muwazi tangia mwanzo kua sihitaji a serious relationship
Hili nalo tatizo huoni kama unahukumu watu kwa makosa yaso yao. Usifanye hivo mkuu
 
Mhh kweli kuishi kwingi kuona mengi!!
Ukiwa mwepesi kusamehe pia Mungu naye anakusamehe vivyo hivyo!maisha ni mafupi mno tujifunze kutokua na visasi lol
Likikupata haya uyasemayo yanayeyuka, omba Mungu akuepushe
 
Hii story bora ungeiendeleza, ni nzuri japo inaumiza
 
Mhhh...,!! Nakupa pole ingawaje pia najua hustahili hiyo pole..!! Kisasi siku zote sio suluhisho la matatizo..! Tena hicho chako cha "kuruka ukuta"... Mmmh moyo huo sina, ingawa wanaume wenzangu wengi mtapingana nami..!!
 
Mkuu story yako imenisisimua kiukwel na kubaki na maswal yasiyo na majibu,ila kiufup ulimkomesha na kutotulia kwake
 
Back
Top Bottom