Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Uswahili nuh huh!!? Ndio maana nikasema huyo demu boya...............IMO acknowledging your existence was beyond dumb! Let alone kukupa namba 😱!!!Like really, how desperate can one be? After unyama wote uliomfanyia history or not I would've given you zero air time.
Let's agree to disagree miss nemo, maybe am lucky she ain't you(not that I'd tattle about any reaction she'd have gave me)
 
Khaaa ahahaha ahaah yawezekana ulikua humrizishi ukajua kutoa kijipasso chako na vijihela vya vocha ndio kila kitu mapenzi yasipokua na kurizishana ni 3-0 sasa kumla kabaang ukajua umemkomeesha kumbe yupo na maisha yanaendlea

Mapenzi ya Wanaume wa Dar khaa..
 
Mmmh nikiona mwanamke anapendwa na kupewa care ya hali ya juu lkn hajali hua naumia sana.... wengine ata kumi hatupewi, unaumizwa lkn bado hufikirii fanya huo ujinga but all in all maisha ndivyo yalivyo
Nmekupenda bure.
Mungu abariki mahusiano yako mkuu
 
Wanasema usipende kupitiliza i.e. 40% zingine jiachie mwenyewe. (Sawa Sikatai)

Ila kumbukeni unavyozidi kuishi na mwanamke ndio unavyozidi kufunguka moyo wako kwake, siku mki break up most likely from betrayal issues, wandugu the pain is unbearable (nimeshapitia hii najua, naelewa nina experience, it pains a lot. Nimeshawahi jihisi nina matatizo ya moyo (heart attacks) sababu ya mapenzi haya haya)

Nilikua nasali na huyo mwanamke kanisa moja huwez amini kila nikimuona kanisani ibada yangu inavurugika kabisa nakua na hasira sana, majonzi na maumivu sana moyoni zikipigwa nyimbo za kuabudu kanisani nakosa nguvu mpaka nakaa kwenye kiti jicho limeiva chozi hilo....ilibdi niwe na attend ibada ya pili (alikua akija misa ya kwanza). The best revenge is forgiveness and let her know ur happy and successful without her (ilimsumbua sanaa, kashagongwa sana na kuachika).

I found a new love a woman way better, a woman that respects and values me deeply. Im happy now.
 
You did what I could do. Wakati mwingine revenge is the best thing, kuna watu wasipotiwa adabu hawakomi kwa usaliti.
Ikitokea unakua kwenye a pool of emotions,sometime ni bora kufanya kile kitakachokupa amani kwa muda huo
 
Mmmh nikiona mwanamke anapendwa na kupewa care ya hali ya juu lkn hajali hua naumia sana.... wengine ata kumi hatupewi, unaumizwa lkn bado hufikirii fanya huo ujinga but all in all maisha ndivyo yalivyo
Mkuu maisha ni uvumilivu,cha msingi heshima. Huyo ambaye hakupi hata kumi ndo kesho atakupa ghorofa
 
Wanasema usipende kupitiliza i.e. 40% zingine jiachie mwenyewe. (Sawa Sikatai)

Ila kumbukeni unavyozidi kuishi na mwanamke ndio unavyozidi kufunguka moyo wako kwake, siku mki break up most likely from betrayal issues, wandugu the pain is unbearable (nimeshapitia hii najua, naelewa nina experience, it pains a lot. Nimeshawahi jihisi nina matatizo ya moyo (heart attacks) sababu ya mapenzi haya haya)

Nilikua nasali na huyo mwanamke kanisa moja huwez amini kila nikimuona kanisani ibada yangu inavurugika kabisa nakua na hasira sana, majonzi na maumivu sana moyoni zikipigwa nyimbo za kuabudu kanisani nakosa nguvu mpaka nakaa kwenye kiti jicho limeiva chozi hilo....ilibdi niwe na attend ibada ya pili (alikua akija misa ya kwanza)

Acheni tu.
Solution ni kujitahidi kukaa nae mbali zaidi,ungeanza kwa kutafuta kanisa lingine
 
Back
Top Bottom