Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Hamna mkate mgumu mbele ya chai... mimi ni chai na witnessj ni boflo!! Ukiona boflo ni kubwa hadi unaliogopa... litie ndani ya chai uone litakavyoweza kuyomolwa hata na katoto ka siku moja!
Basi hebu changamka nipate wifi mie.
 
mkuu pole sana..
hata mimi kuna kitu huwa kinanisumbua kichwa

>huwa napenda niwe na
familia baadae
>lakini naogopa sana
kuoa

maana visa vya ndoa au mahusiano kwa ujumla huwa ni tishio kwa kweli maana kila nikijaribu kugeuza visa vya wenzangu viwe vyangu huwa napata uwoga sana wa kuthubu hata kujaribu.
Take a leap of faith,, story ya mtu mwingine ya mapenzi haiwezi kuwa story yako.
 
Tupe part tu ya riwaya hii, maana unamfaham shemeji yako
Yaani wanaume hovyo kabisa! Anavyonyenyekea kuomba papuchu utadhani anaomba mbingu? Mkeo hakutoshi mchepuko utaishia kuvunja ndoa za watu. Mfyuuu!!
 
Bado sijaelewa kisasi kipo wapi hapa

Maana kama ni hiyo 'kitu' huku kwetu TUNAKULAGA kikawaida

Na mwanamke akihongwa ata elfu 50 alafu akazngua hua TUNAMCHAMBUA KAMA KARANGA!
 
Huenda narudia maana uzi umekuwa mrefu ila my dear 2017 kwanza pole. Pili elewa hili somo japo ni gumu: your spirit/soul is longing for perfection. To attain perfection our spirits subject us to trials. The spirit does not care about how you will feel, but what it will gain out of that trial. Your spirit wants to mature/to grow. It wants a more persevering 2017, a forgiving 2017, a loving 2017, a humble 2017, a whatever good 2017, but it cannot get these without your WILL.

Give your spirit what it wants, or expect more tragedies and the worst you. If you decide to surrender to your supreme being, and forgive the lady and repent whatever guilt you are carrying, I assure you will emerge stronger than ever. If you continue to harden your heart, then expect more tragedies; and they will break you further (you're partly broken now). The excitement you got from a revenge is that an illusion, it did not make you any better. The feelings of betrayal are still eating you and following you wherever you go, and dictating your life choices, e.g. dating style. Deep down you know you are not that kind of a person, but look at what you're doing now. A sound minded man would love to have a secure relationship, but you are letting the trial defeat you. Do not let it defeat you. You have a will power to say no to more destructions.

FORGIVENESS IS NOT A SIGN OF WEAKNESS, BUT OF MATURITY. LET HER GO AND WAIT TO SEE THE WONDERS OF FORGIVENESS - joy, prosperity, wisdom, patience, endurance etc. I have been there too.
 
Thats NANDERA.
Usiwe unapotea hivyo mama.

Umemaliza.
 
Never say never mami,trust me HAYAJAKUKUTA...u will wonder what happened to misimamo yangu yote ile..maisha yana siri kubwa hasa hapa kwenye mapenzi

I totally agree with you....mapenzi yako very complicated and at times it can surprise you jinsi unavyofeel weak....something that you might have never expected ikutokee.
 
Humu ndani kila mtu ni eric shigongo siku hizi..Unapoteza uhalisia bwanaa..
 
Duuuh pole sna Mkuu.
Hakuna mwanadamu aliye kamilika ndugu Yangu. Msamaha ndo nguzo muhimu sna ktk Iman, yaani unasamehe na kusahau... Hata Mungu wa mbinguni na yy atakusamehe makosa yako.

Ushauri wangu kwako ndugu yangu, badilisha life style yko maana kama Madhambi umeshayafanya ya kutosha kama ni Mkristo basi okoka na kama ni Muslim basi tubu na umrudie Mola wako.

Baada ya hapo tafuta mke wa kuoa ambae ni mcha Mungu uoe na maisha yatabadilika, Mungu atakupa watoto na familia yko itakuau na furaha.

Asikwambie mtu rafiki yangu, mkioana watu wenye hofu ya Mungu basi ndoa yenu inakua na
Aman na upendo tele...
Barikiwa....
 
Back
Top Bottom