emanuel2000
Member
- Jul 14, 2015
- 7
- 1
Hahahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahio revenge yako ni kumla tigo tu na kumwacha?! Wewe una huruma sana.
Hahahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahio revenge yako ni kumla tigo tu na kumwacha?! Wewe una huruma sana.
Umequote Ristory Roote Ra nini.UnaborePole sana usaliti ni adui mkubwa sana ktk mahusiano ya watu wengi Mungu akutie nguvu uwatunze vyema wanao.
Boys are snake!girls are snake!
...la...Katika maisha huwezi kupata kila kitu, ndio maana kuna kitu inaitwa "kuridhika".
Kwahiyo kwa muda wooote huo alokuwa nae alikuwa hamridhishi? Au hakuweza kumridhisha kwakuwa sasa yupo sehemu nzuri? Asiye wa kuridhika sio wa kuridhika tu hata sio wa kutafuta visingizio.
Na kama huridhishwi si uongee na mpenzi wako mueleze akufanyie nini ili uridhike.
Cheeeeeh!!!
Kuchepuka hakuna justification ni uma.....ya tu.
Kitambo sana sijakuonaNipo mkaka...
Hahaaaaaa thank you mrembo,at least umetoa dukuduku lako mamii.Unasema mwanamke akisalitiwa ni less painful kwake? Kwa kuwa yeye ana moyo wa jiwe ama hana hisia? Ila nyie mkisalitiwa ndo panauma kwa kuwa mna mioyo ya nyama sio? Endeleeni kusaliti, wanawake nao siku hz wameamka, wamechoka kufanywa wajinga. Ukimsaliti huku na yeye anakusaliti kule. Sasa ukijua unasalitiwa kunywa maji ushushie... Usaliti unauma pande zote. Usijidanganye eti kwa mwanamke ni less painful
Tatizo mimi sina nyingi kama Ngabu,Ngabu yuko land of milk and honey,mimi muuza karanga katikati ya jiji la Makonda si utanifanya nikose kodi ya nyumba kachumba kule kwa mfuga mbwa?Hizo nyavu zako ambatanisha na muamala wa mpesa hebu
Hahaha wewe ungefanyaje mkuu??!Kwahio revenge yako ni kumla tigo tu na kumwacha?! Wewe una huruma sana.
Wewe tatizo lako ni umri!mkuu pole sana..
hata mimi kuna kitu huwa kinanisumbua kichwa
>huwa napenda niwe na
familia baadae
>lakini naogopa sana
kuoa
maana visa vya ndoa au mahusiano kwa ujumla huwa ni tishio kwa kweli maana kila nikijaribu kugeuza visa vya wenzangu viwe vyangu huwa napata uwoga sana wa kuthubu hata kujaribu.
Mpwa!!! Hadi wewe?You did what I could do. Wakati mwingine revenge is the best thing, kuna watu wasipotiwa adabu hawakomi kwa usaliti.
If you are in an abusive relationship..you need to get off my dear sis!!! Let go...Mmmh nikiona mwanamke anapendwa na kupewa care ya hali ya juu lkn hajali hua naumia sana.... wengine ata kumi hatupewi, unaumizwa lkn bado hufikirii fanya huo ujinga but all in all maisha ndivyo yalivyo
Kuna wengine sio wote.. Wengine ndo michezo yao so unakuwa hujamkomoa bado...Siku hizi wanachama wa huo mchezo ni wengi na mwingine nimeona anaomba ushauri afanyeje ili mumewe ampe....unamfanyia hivyo still anapata mume mwingine na maisha yanaendelea..."..kuna wengine ukilipiza kisasi ndio wanabarikiwa.."
Usiniambie huenda naye alibarikiwa baada ya kuliwa tiGO
[emoji2][emoji2]
Aint better than you man i just spoke my mind....i am not judging you either...kila mtu ana namna yake ya kudeal na maumivu ili mradi apate relief.Then that makes you a better man than me