Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Nawaza na kuwazua sipati jibu huyo bidada alijisikiaje kukuta vitu vyake kwa mlinzi meanwhile anajua kuna harusi, halafu katoka kuenjoy (to her) kwa vacation!! But all in all pole sana mkuu!! Tena saaana, lakini usikate tamaa sana, bado kuna wanawake wema na waaminifu wengi tu!! Lakini haya mambo ya mahusiano sijui tumpate wapi daktari atutibu maana mahusiano yamejaa dhahama tu! Anyway, time heals my brother!
 
Mmmh nikiona mwanamke anapendwa na kupewa care ya hali ya juu lkn hajali hua naumia sana.... wengine ata kumi hatupewi, unaumizwa lkn bado hufikirii fanya huo ujinga but all in all maisha ndivyo yalivyo
Usijali mrembo,kama kumi hupewi basi mimi nakupa laki.
 
Mkuu you have read between the lines,, waaminifu wapo but kumpata sasa??? What are the odds???
 
1.pole sana
2. hivi wewe ni nani? I'd yako zamani sema tu Kwani sh ngapi? si umesema ukweli? sema bana I'd yako tunayoijua wala hatutokushangaa
3: wasalimie Mapacha wako wambie nawapendaga.
1.asante
2.siri ya jeshi
3.ntahakikisha zinafika mkuu
 
[emoji23] [emoji23] jiandae kufa
Wewe Vale ujue iko siku nitajinyonga kwa ajili ya wewe kunipotezea kila nikirusha nyavu,yaani holaaa holaaa holaaaaa,na Karumanzira anazidi kula pesa zangu na mabadiliko sioni.
 
Nasemaga hivi- mwanamke hujazaliwa nae, akikusaliti tupa kule chukua mwingine na sio kuhangaika na kisasi. Kama alivyoamua kukupenda vilevile anaweza amua kutokukupenda na huwez kumcontroll hyo hali
 
Ulipaniki san nenda kapime my bro wanajisifia kila 1 wao naweza naweza sijui nina inch 5-6 kelele kibao lakin mkiingia 18 utoto tu...
Jest waniua mrembo,bora usingevaa hiyo beach comber,yaani mwenzio naweza pata mfazaiko na msisimko.
 
Wewe Nemo weee?,yaani humuogopi MUNGU ?
Karanja I am no way glorifying or agreeing with what mchumba wake put him through but...........umemsikia mwenyewe kuwa pamoja kumharibia dada wa watu utu wake na michezo ya ajabu, he left her high and dry katikati ya maandalizi ya harusi, with no closure and a homeless! Sasa kweli ni nani wakutakiwa kumuogopa mungu hapa!!!
 
Haya hongera...isije tu ikawa ni dada yako yule niliye break up nae. [emoji23][emoji23]

Nlipo sasa moyo wangu umenawiri sanaaa. Heb Mtuwache !!
Huwa nasikia furaha sana pale ninapoona mwanaume anajivunia mwanamke aliye nae!! Endelea kuenjoy Senior boss! Big up sana!!
 
Kweli,the lady was left outside alone,but the guy was sick and tired of her because of her betrayal,unajua mwanamke akisalitiwa ni less painful kuliko mwanaume akisalitiwa,sisi wanaume ndio providers since stone age,na pia sisi ni kings in our own castles,sasa jiulize,mimi mwanaume muoaji na kiongozi wa familia,nagundua mwanamke wangu ana bwana mungine? daah ni bora mauti yanikute nife nisipate huo uchungu,mwanamke kwenda na bwana mungine ni donda kwa mwnaume kuliko misiba yote duniani.
 
You see now bro!! Just a few miles out of pain you had comfort (the late mama wawili)! So please, don't betray yourself, life still holds a good package for you in this area, only time is needed to heal whatever wound found deep down your heart! May God in heaven intervene this matter for your complete healing!!
 

Sir, I beg to respectfully differ ! Please know, this is not true. Ke na Me wote ni binadamu. Kwenye maswala ya moyo we feel the same as you guys,if not more. Ni kuwa labda tolerance level yetu ni kubwa kuliko nyie.
 
Well kuna ukweli flan katika uliyo yaongea ila whats the point of talking and hangin around someone i don't like or don't wanna waste my tym and breath/oxygen talking to. Sikujiskia kusalimiana au kuongea nae cz sikutaka au niseme sikupenda cz hana la kuni nufaisha. If ur getting my point.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…