Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Khaaa ahahaha ahaah yawezekana ulikua humrizishi ukajua kutoa kijipasso chako na vijihela vya vocha ndio kila kitu mapenzi yasipokua na kurizishana ni 3-0 sasa kumla kabaang ukajua umemkomeesha kumbe yupo na maisha yanaendlea

Mapenzi ya Wanaume wa Dar khaa..

Duuh kuliwa kabang kawaida kabisa sio adhabu sio aisee sawa na ile ya harusi ambayo tayari ishatangazwa na ikapotezewa unahisi alikuwa katika hali gan?

No matter what maisha lazima yaendelee ila lesson aliipata
 
Dhahabu ya kweli hupimwa kwa moto. Usipate tabu, you're real.
 
Khaaa ahahaha ahaah yawezekana ulikua humrizishi ukajua kutoa kijipasso chako na vijihela vya vocha ndio kila kitu mapenzi yasipokua na kurizishana ni 3-0 sasa kumla kabaang ukajua umemkomeesha kumbe yupo na maisha yanaendlea

Mapenzi ya Wanaume wa Dar khaa..
Inawezekana mkuu,hayo ni maoni yako na nayaheshimu. Enzi hizi za wanawake Ku fake orgasm sijui wenzangu mnatumia njia gani kujua wenza wenu wanaridhika.

FUNNY THING
imekua ni zama ya kila mwanamme kujitapa kwamba ye ni kiboko sita kwa sita huku wimbi la wanawake wanaolalamika kutoridhishwa likiongezeka

Am so confused!!
 
Solution ni kujitahidi kukaa nae mbali zaidi,ungeanza kwa kutafuta kanisa lingine
Yes....

Ila huyu mwanamke mwingine niliye nae sasa amenifanya ni recover 90% yule wa kule nimetokea kumdharau na kumchukia mno ingawa nimeshasamehe....ila kuna ile kitu moyoni nimeweka juu yake i.e.

" Your nothing, hata itokee unakufa hapo na matatzo/maradhi yako she can rot in hell for all that i care"

(na anajua sina hisia nae tena, kuna siku tulipishana sea cliff nikiwa na huyu mwanamke wangu wa sasa....alini salimia i ignored her nd gave her this very cold treatment and she felt it deep inside her i kno.)
 
Ndo ishatokea and I can't do anything about it now,can I???
Sorry to ask baada ya kukomoa kwa njia hiyo je unaendelea na mtandao wa tigo maana kuna kauli inasema ukianza huo mchezo huwezi kuacha na je kwa hali hiyo uoni umejiingiza kwenye kutenda kitu labda hukuwahi kufikiri katika maisha yako ungetenda japo umetenda kwa hasira?
 
Mwanamke akili yake anaijua mwenyewe... Mwepesi kusahau mema yote kwa kipindi kifupi. Unahangaika kila njia ili afurahie mahusiano, unamuonesha penzi la kweli lakini wapi. Mwisho wa siku anakuona kama mjinga fulan hivi.....
 
Acha kuidhulumu nafsi yako wewe unahitaji mwanamke wakukupenda umpende hata kama una miaka 50. Haya maisha ndo haya haya hajazaliwa peke yake.
 
Wanasema usipende kupitiliza i.e. 40% zingine jiachie mwenyewe. (Sawa Sikatai)

Ila kumbukeni unavyozidi kuishi na mwanamke ndio unavyozidi kufunguka moyo wako kwake, siku mki break up most likely from betrayal issues, wandugu the pain is unbearable (nimeshapitia hii najua, naelewa nina experience, it pains a lot. Nimeshawahi jihisi nina matatizo ya moyo (heart attacks) sababu ya mapenzi haya haya)

Nilikua nasali na huyo mwanamke kanisa moja huwez amini kila nikimuona kanisani ibada yangu inavurugika kabisa nakua na hasira sana, majonzi na maumivu sana moyoni zikipigwa nyimbo za kuabudu kanisani nakosa nguvu mpaka nakaa kwenye kiti jicho limeiva chozi hilo....ilibdi niwe na attend ibada ya pili (alikua akija misa ya kwanza). The best revenge is forgiveness and let her know ur happy and successful without her (ilimsumbua sanaa, kashagongwa sana kuachika).

I found a new love a woman way better, a woman that respects and values me deeply. Im happy now.
"..wanasema usipende kupitiliza.."

unadhani KUPENDA ni chai ile kwamba ujaze kikombe au uweke nusu..!! LOL..

BY HOW MUCH LOVE CONQUER YOUR HEART...
IT'S BEYOND YOUR SCOPE..!!!!!!! brother..
 
Inawezekana mkuu,hayo ni maoni yako na nayaheshimu. Enzi hizi za wanawake Ku fake orgasm sijui wenzangu mnatumia njia gani kujua wenza wenu wanaridhika.

FUNNY THING
imekua ni zama ya kila mwanamme kujitapa kwamba ye ni kiboko sita kwa sita huku wimbi la wanawake wanaolalamika kutoridhishwa likiongezeka

Am so confused!!

Ulipaniki san nenda kapime my bro wanajisifia kila 1 wao naweza naweza sijui nina inch 5-6 kelele kibao lakin mkiingia 18 utoto tu...
 
Back
Top Bottom