AH AH, MUONGO MKUBWA WEWe, WA KUKEKETWA HAWANAGA, NGENYE
hapo kwenye Blue nmejitahidi kupaelewa lakn nmeshindwauna mpanda kweli au unamtamani sana?
baada ya kumuona ucngemgegeda kwanza wew umemaliza mambo yako ndo unakuja kutuhadithia..swali ni kwamba baada ya hapo uliona tofauti gan? mi naona hamna tatizo kuendelea nae...
hAhAhAA.., utajuaje labda alikuwa anawaambia waishio mbali na pale...
Kwahili sielewi kabisa... Tatizo nahisi HISIA zangu zitahama kabisa kutoka kwake. Naumia sana moyoni.
Kwani Sukari haipo? Kama ipo endelea nae tu.
AH AH, MUONGO MKUBWA WEWe, WA KUKEKETWA HAWANAGA, NGENYE
WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana.
Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda.
Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu.
Ngoja niwaelezea mkasa wenyewe.
Ni hivi nina MCHUMBA ambaye alikataa ''katu'' kunipa PENZI lake mpaka tuoane.
Ila kumbe alikuwa anajua ya MOYONI mwake.
Baada ya kumshawishi mpaka amekubali ni kuwa nilichokikuta ni MAJANGA. Nilimwonea huruma sana.
Ni hivi Mchumba mwenyewe AMEKEKETWA.
Naombeni Ushauri NIENDELEE naye Au NIMUACHE?
Muache tu ili uwe na amani,kwanza humstahili.Kwahili sielewi kabisa... Tatizo nahisi HISIA zangu zitahama kabisa kutoka kwake. Naumia sana moyoni.
Kwahili sielewi kabisa... Tatizo nahisi HISIA zangu zitahama kabisa kutoka kwake. Naumia sana moyoni.
Sijui atamwambia sababu yakumuacha ni ipi?????inaumiza sana lazima atajisikia unyonge sanaaaaa!!!!!!!
sasa CT scan Mchina, we achana na huyo dada ila ni PM mimi contacts na details zote . tena huyo mdada ni mnyaturu daaaaah aiseee!!!! fanya hivyo meen, tafadhali sana.