ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,704
- 127,611
Mbona sielewi MMU members wakati mwingine!
Hapa ndo kila mtu anasema hauziwi mtu mbuzi kwenye gunia, leo mtu anasema haridhiki na mke alokeketwa wooooote mnamkandia, SMFH!!!
Watu wanatamani walale na wapenzi wao ili kugundua mambo ya namna hiyo, mambo ambayo hawaridhiki nayo... wengine hawataki vibamia, wengine madimbwi, wengine mnato.... si ndo hayo hayo mnalalamika kila kukicha , then leo kila mtu anadandia... it's all about choice guyz, kama hupendi bora kumuacha msije kuishi maisha ya kujuta baadae.
Mkuu, kama huridhiki na mbuzi, ili mradi umeoneshwa kabla ya kumnunua, mwambie ukweli uachane nae!