miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
yataka moyo...
Na moyo we huna????ndo yaleeeeee......kwahiyo kama ungeoa before kupewa,ungemuacha baada yakugundua hivyo?
yataka moyo...
Mbona baba yako alimvumilia mama yako na hajamtangazia hadharani?
Kwahili sielewi kabisa... Tatizo nahisi HISIA zangu zitahama kabisa kutoka kwake. Naumia sana moyoni.
Na moyo we huna????ndo yaleeeeee......kwahiyo kama ungeoa before kupewa,ungemuacha baada yakugundua hivyo?
Basi kama ni hivyo naona tayari umeshamwacha moyono bado tu hadharani, fanya utaratibu wa kumweleza kwa upole uamuzi wako huo
sio kosa lake
Basi kama ni hivyo naona tayari umeshamwacha moyono bado tu hadharani, fanya utaratibu wa kumweleza kwa upole uamuzi wako huo
sio kosa lake
from SINGIDA... {Mnyaturu}
Kama nia yako ni kisimi, mchongee artificial.WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana.
Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda.
Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu.
Ngoja niwaelezea mkasa wenyewe.
Ni hivi nina MCHUMBA ambaye alikataa ''katu'' kunipa PENZI lake mpaka tuoane.
Ila kumbe alikuwa anajua ya MOYONI mwake.
Baada ya kumshawishi mpaka amekubali ni kuwa nilichokikuta ni MAJANGA. Nilimwonea huruma sana.
Ni hivi Mchumba mwenyewe AMEKEKETWA.
Naombeni Ushauri NIENDELEE naye Au NIMUACHE?
from SINGIDA... {Mnyaturu}
haa. wewe nawe wa ajabu!! kwani hana joto??utamu wa sex ni ujoto ule.... hayo mashavu sijui "kisimu" ni addition tu kama kachumbari kwenye pilau !!
Ngoja nitajaribu baada ya Ushauri wenu kuniingia..
hivi hawa nao wanakeketwa?
hivi hawa nao wanakeketwa?
Halafu hao watu wanapenda sana nyabe...huko kukeketana kumeanza lini tena?
MUACHE ,tena leo hii!sasa 'kale' huwa nakahusudu mwenzenu...
Mungu naomba unisamehe kwa kumtukana huyu mtu
We huna akili hata kidogo,huu ni udhalilishaji wa hari ya juu kwahiyo yeye alipenda kukeketwa? Kama unampenda endelea naye tu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums