Alininyima Kwa Muda Mrefu, baada ya kunipa nimeamua ku...!

Alininyima Kwa Muda Mrefu, baada ya kunipa nimeamua ku...!

e wa kuoa hapimwi kwa kigezo hicho ndugu oa,naamin utafurahia maisha tu
 
Basi kama ni hivyo naona tayari umeshamwacha moyono bado tu hadharani, fanya utaratibu wa kumweleza kwa upole uamuzi wako huo

sio kosa lake
kuna muda huwa sielewi
sijui ni kukua sijui ni kuwa mjinga sijui ni kujitambua sana,pengine ni ufala wangu!
kuna kazi sana ,tena sana kwenye hii habari ya kupenda na kupendwa!
pengine inanipasa nikasome upya kama sio niingie upya field ili nijue what exactly does it take to love a person!
 
dah!
maskini binti wa watu!
alikuamini akaamini utamsitiri ,
alikuamini akiamini wewe ni wake
alikuamini akiamini utajali utu wake zaid ya mwili wake
alikuamini akiamini utamwelwa na kumkubali alivyo
NA HAPA SASA UNAMUINGIZA KWENYE TRAUMA nyingine kabisa!
dah!
MUACHE HUYO BINTI!MUACHE TU!

usiogope kwa ushauri wenu UPENDO wangu kwake UNAWEZA ukaongezeka au UKAPUNGUA totally.
 
kwani hyo hali inakuathiri nn ww?
..mbona wanawake tuna sehem nyingi sana za kuchezewa/kupandishwa.... ati! Unless ucwe mtundu kwa bed!!
..halafu naona umecrem, sio kilamwanamke akishikwa hapo ndo namna gan vp,wengine wala!
..usimwache!
 
dah!
maskini binti wa watu!
alikuamini akaamini utamsitiri ,
alikuamini akiamini wewe ni wake
alikuamini akiamini utajali utu wake zaid ya mwili wake
alikuamini akiamini utamwelwa na kumkubali alivyo
NA HAPA SASA UNAMUINGIZA KWENYE TRAUMA nyingine kabisa!
dah!
MUACHE HUYO BINTI!MUACHE TU!

dah! Akisoma hapa atabadilisha mawazo yake..kwa kwel umempa ushauri wenye hisia kali sana.
 
kuna muda huwa sielewi
sijui ni kukua sijui ni kuwa mjinga sijui ni kujitambua sana,pengine ni ufala wangu!
kuna kazi sana ,tena sana kwenye hii habari ya kupenda na kupendwa!
pengine inanipasa nikasome upya kama sio niingie upya field ili nijue what exactly does it take to love a person!

lol... "what does it take to love a person! Haya just go to Dat' field.
 
kwani hyo hali inakuathiri nn ww?
..mbona wanawake tuna sehem nyingi sana za kuchezewa/kupandishwa.... ati! Unless ucwe mtundu kwa bed!!
..halafu naona umecrem, sio kilamwanamke akishikwa hapo ndo namna gan vp,wengine wala!
..usimwache!

nitajaribu kwa kweli...
 
WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana.
Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda.
Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu.
Ngoja niwaelezea mkasa wenyewe.
Ni hivi nina MCHUMBA ambaye alikataa ''katu'' kunipa PENZI lake mpaka tuoane.
Ila kumbe alikuwa anajua ya MOYONI mwake.
Baada ya kumshawishi mpaka amekubali ni kuwa nilichokikuta ni MAJANGA. Nilimwonea huruma sana.
Ni hivi Mchumba mwenyewe AMEKEKETWA.
Naombeni Ushauri NIENDELEE naye Au NIMUACHE?
Kwanini umuache?kwasababu yupo tofauti na matarajio yako?Wakati mwengine tunatakiwa tujifunze sio kila kitu kitakwenda kama tulivyopangilia,kwahio tunatakiwa kutafuta suluhisho kupambana na hali halisi na kumuacha sio suluhisho ambalo litakuwa fair kwa huyo bi dada kwasababu amefunguka na kukuamini,Umeshajua kipi kilichokuwa kinamzuia kuwa muwazi kwako,then you want to TURN YOUR BACK ON HER, LIKE COME ON DUDE!!!Mfano mdogo wewe uwe na kasoro kwenye viungo vyako vya uzazi kisha ye akuache utajisikiaje?
 
kuna muda huwa sielewi
sijui ni kukua sijui ni kuwa mjinga sijui ni kujitambua sana,pengine ni ufala wangu!
kuna kazi sana ,tena sana kwenye hii habari ya kupenda na kupendwa!
pengine inanipasa nikasome upya kama sio niingie upya field ili nijue what exactly does it take to love a person!

Mimi pia kama wewe mwalimu!
 
WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana.
Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda.
Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu.
Ngoja niwaelezea mkasa wenyewe.
Ni hivi nina MCHUMBA ambaye alikataa ''katu'' kunipa PENZI lake mpaka tuoane.
Ila kumbe alikuwa anajua ya MOYONI mwake.
Baada ya kumshawishi mpaka amekubali ni kuwa nilichokikuta ni MAJANGA. Nilimwonea huruma sana.
Ni hivi Mchumba mwenyewe AMEKEKETWA.
Naombeni Ushauri NIENDELEE naye Au NIMUACHE?
kawaida watu wangu wa nguvu wa masai/warusha wamekeketwa na watu wanafaidi tu,kwani mkuu steam ziko hapo tu raha kila mahali,hata kwenye kucha.mradi jua wapi anaburudika zaidi.
 
Endelea tu mkuu.MTU CHAKE huwa hawana shida mie wife amefanyiwa hyo mambo but 2ko vizuri tu na katoto ketu kamoja! Alijifungua kikawaida tena bila shida nilimpeleka hospitali saa kumi jion na by saa kumi na mbili akawa amejifungua!! Kuhusu n.y.e.g** anapata kama kawa na 2naishi bila shida.SO USIMWACHE

AH AH, MUONGO MKUBWA WEWe, WA KUKEKETWA HAWANAGA, NGENYE
 
Jiheshimu kwanza halafu usimuache.

Hata yeye haikuwa ridhaa yake kufanyiwa hilo.
 
komaa nae mwanzo mwenga kwani kigezo cha wewe kumpenda kilikuwa ni "uwepo wa kiharage tu?" au umepata chimbo jipya sasa ndo unataka kutokema kunako mafichoni? mlinde akulinde, mtunze akutunze, mjali atakujali.
 
Back
Top Bottom