Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

shikiria apo apo usimruhusu arudi uko alitoka kakimbia nin had arudi kwako ashaona uko aliko kua wamemchoka anakuja kupumzikia kwako wew sio sehemu ya kupokea watu waliojichokea uyo ukimruhusu siku atakuchape afu alale Mbele Tena Urudi apa unalia Tena kam mwanzo aliona viazi ni chakula kichungu inakuaje leo anaza kuona Viazi ni chakula kitamu akili kichwani mwako
Mkuu sirudi nyuma msimamo wangu ni ule ule
 
Attachments

  • Screenshot_2024-04-24-20-54-20-858_com.android.server.telecom.jpg
    Screenshot_2024-04-24-20-54-20-858_com.android.server.telecom.jpg
    69.2 KB · Views: 3
Sijaona umuhimu wa wewe kumblock pale mwanzo kisa yeye alikublock.Inaonekana huyo mrembo ameshajua udhaifu wako kwake,so anarudisha majeshi.
 
Wakuu kwema?

Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.

"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina bwana angu nampenda"
"Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye".

Basi bana ikabidi niwe mpole nikakubali yaishe.. nika mblock na yeye akani block kuanzia kwenye namba mpka social network zote.

Kisa Cha kuleta huu Uzi
Nikashangaa ananitumia upya friend request fb akaanza Tena ku ni follow nikakausha. Akaanza kunipigia kwa namba mpya nyingi sana wakuu akiomba msamaha kuwa alikosea na ananipenda sana miezi miwili imeisha ila amenipigisa saana simu na namba mpya mpaka now simu yangu nimezuia namba mpya ikinipigia hainipati.

Amekuwa kinganganizi na wakatii Mimi tayari Sha move on..
Kachacha, hana vocha.
Usije kuwa mbuzi wa shughuli.
 
Ulimblock halafu na yeye akakublock. Sasa ulijuaje kuwa amekublock everywhere na ulishamblock?
 
shikiria apo apo usimruhusu arudi uko alitoka kakimbia nin had arudi kwako ashaona uko aliko kua wamemchoka anakuja kupumzikia kwako wew sio sehemu ya kupokea watu waliojichokea uyo ukimruhusu siku atakuchape afu alale Mbele Tena Urudi apa unalia Tena kam mwanzo aliona viazi ni chakula kichungu inakuaje leo anaza kuona Viazi ni chakula kitamu akili kichwani mwako
Jamaa bado anampenda ndio maana ameleta huku tumshauri.....hata umwambie nini atarudi tu kwa demu huyo.
 
Back
Top Bottom