Aliniacha sasa ananisumbua

Aliniacha sasa ananisumbua

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
141
Reaction score
77
Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu. Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na kuendelea na huyo jamaa.

Niliumia sana lakini Mungu mwema nikapata mwingine na tunaendelea vyema hope mwakani nitaoa. Muda mrefu sikumtafuta huyu msaliti sasa siku hizi amezidi kunitafuta mara i remember u so much.

Mara you are one in a million nikamwuliza kwani si una mtu wako ya nini kunisifia anadai ananimiss sana, juzi nilimwambia sasa hivi na mimi nina mpenzi mpya.

Baada ya hapo ndio kazidi kunipigia ingawa mimi sipendi hata kusikia sauti yake naombeni mnishauri niache kupokea simu zake au nimwambie asinipigie maana ananikumbusha maumivu yaliyopona na sifikirii kabisa kuwa nae hata ikitokea huyu kanizingua.
 
Ukipokea simu zake una respond vipi?Friendly au harsh?Tatizo ni wewe mkuu
 
njia rahisi ni kumblock au kunadilisha line ya simu,coz huyo hana jipya ila anataka kulipiza kisasi tu.
 
Bila shaka bado unampenda mkuu kesho sikuku bora ukawa nae tu mchezo uishe.
 
una kisasi naona
unataka aendelee kukusumbua ili kimoyomoyo useme 'kiko wapi'

but what if akiacha kukusumbua na kutafuta mwingine? roho haitakuuma?
kama haitakuuma basi mchunie tu
Bro ni kweli nilimpenda ila kwa sasa sifikirii kumpa nafasi maana najua anaendelea na jamaa na hata akiwa na mwingine kwangu poa tu sema sitaki mawasiliano nae tena sasa ndio nawaza nisipokee simu yake au nimwambie asinipigie kapisa
 
Bro ni kweli nilimpenda ila kwa sasa sifikirii kumpa nafasi maana najua anaendelea na jamaa na hata akiwa na mwingine kwangu poa tu sema sitaki mawasiliano nae tena sasa ndio nawaza nisipokee simu yake au nimwambie asinipigie kapisa

we mchunie tu jumla
usimwambie chochote ila akipiga usipokee wala kujibu sms
kaa tu kimyaa
 
Mtu anayetafuta 'attention' yako dawa ni kumchunia for good, ukimjibu hata kidogo hakosi excuses za kuwasiliana na wewe.
 
mpotezee atakuharibia mahusiano yako ya sasa

Ya nini tabu yote hiyo utabadilisha line mara ngapi? Gentleman stand for truth,,,ni kujibu tu short and clear HABARI ZA MAPENZI NA WEWE SINA let be as a friend huwezi pita hivi!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Niko friendly ndio maana nataka kumbadilikia

Ungekuwa humpendi usingekuja hapa kuomba ushauri.

Maamuzi unayo mwenyewe kama unamaanisha kweli humwitaji tena na umemove on, mpigie mkutane sehemu kwa lunch na mpenzi wako awe karibu na umtambulishe mchumba wako na mueleze wazi mnataka kuona.

Hapo utakuwa umekata mzizi wa fitina, ila mpenzi wako umueleze kabla all the story akuelewe na umueleze faida za maamuzi yako.
 
unamchunia tu as long as your safety is not at stake.

Hivi unajua kuna mtu ukimjibu hata salam anapata cha kusema somewhere?

Au anasaka taarifa from God knows where kwa sababu zisizojulikana.

Dawa ni ignore completely.

Na stalker je?
 
Ha ha ha we jamaa bora hata mtu asiwe ana kuomba ushauri maana ushauri wako mkuu ninshiidah!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

hapo ndio unamwambia indirectly kuwa bye bye.as a man no woman shuld treat u like sh.it
 
unamchunia tu as long as your safest is not at stake.

Your safety

Hivi unajua kuna mtu ukimjibu hata salam anapata cha kusema somewhere?

Mi nikijua nakuwa ignored in the context of a relationship basi nami nauchuna. Huwaga sina shida kabisa na kuuchuna. It's like I was born that way.
 
akipiga pokea tu na akitaka kitu chochote mkubalie tu kwa maneno ila matendo yawe zero (kama kumyeyusha vile)...atakaza weee bt ataacha mwenyewe akiona hueleweki
 
Back
Top Bottom