Aliniacha sasa ananisumbua

Aliniacha sasa ananisumbua

why does somebody stalk you??
In my understanding he/she is interested/still cares/inlove
if they stalk and find its gloomy,umepauka pauka tu maisha yanaonekana mabaya on ur side that makes them happy,,,
now if u wanna be the winner here give them something to feel jealous about...like keep having ur full life even when they are not there,not necessarily flirtin wt other people but js live on the ppositive side,usiwe umepauka pauka tu na huzuni all the time kisa mtu...mara nyingi hata mi nikimfanyia mtu ubaya afu nikamuona like hajali hivi,roho huwa inaumaa,na kusema siwezi..so i guess it has a similar effect kwa wengine
Ila thts js my view of what to do to a stalker... Sijui umenipata walau saivi?

Got ya!

So I guess "Living well is the best revenge" encapsulates your viewpoint.
 
Suluhisho rahisi hapo ni kuuchuna mazimaaa! No kupokea simu, no kujibu sms. Period!
 
Siku nyingine akikupigia simu mpe demu wako apokee watamalizana wenyewe maana wanawake wanaelewana.
 
Sikiliza wewe hilo ni bomu la nyuklia, ni muharibifu mblock kabisa kama hautaki mawasiliano naye na una nia ya kweli ya kufunga ndoa mwakani.

mkuu nifundishe namna ya kublock
kuna mmoja ananisumbua sana
ahsante sana
 
sijaona kigumu hapo.. kama humtaki kwnn upokee call zake
 
Mwambie ctaki unipigie cm kwasababu sikupendi tena na sipendi kusikia sauti yako unanikeraaa
 
Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu.Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na kuendelea na huyo jamaa.Niliumia sana lakini Mungu mwema nikapata mwingine na tunaendelea vyema hope mwakani nitaoa.Muda mrefu sikumtafuta huyu msaliti sasa siku hizi amezidi kunitafuta mara i remember u so much,mara ur one in a million nikamwuliza kwani si una mtu wako ya nini kunisifia anadai ananimic sana juzi nilimwambia sasa hivi na mimi nina mpenzi mpya,baada ya hapo ndio kazidi kunipigia ingawa mimi sipendi hata kusikia sauti yake naombeni mnishauri niache kupokea simu zake au nimwambie asinipigie maana ananikumbusha maumivu yaliyopona na sifikirii kabisa kuwa nae hata ikitokea huyu kanizingua.
Alikuwa antest flavour ameona flavour yako kali; ndio maana anataka kurudi kwako! Haihitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kuchukua maamuzi. Uamuzi unao mikononi mwako.
 
Mwambie ctaki unipigie cm kwasababu sikupendi tena na
sipendi kusikia sauti yako unanikeraaa........
i like it.......
 
njia rahisi ni kumblock au kunadilisha line ya simu,coz huyo hana jipya ila anataka kulipiza kisasi tu.

Hakuna haja ya Kubadilisha line kisa mwanamke, hapo ni yeye tu kuamua, atakuwa anataka kulipa kisasi hakuna kingine hapo
 
Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu.Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na kuendelea na huyo jamaa.Niliumia sana lakini Mungu mwema nikapata mwingine na tunaendelea vyema hope mwakani nitaoa.Muda mrefu sikumtafuta huyu msaliti sasa siku hizi amezidi kunitafuta mara i remember u so much,mara ur one in a million nikamwuliza kwani si una mtu wako ya nini kunisifia anadai ananimic sana juzi nilimwambia sasa hivi na mimi nina mpenzi mpya,baada ya hapo ndio kazidi kunipigia ingawa mimi sipendi hata kusikia sauti yake naombeni mnishauri niache kupokea simu zake au nimwambie asinipigie maana ananikumbusha maumivu yaliyopona na sifikirii kabisa kuwa nae hata ikitokea huyu kanizingua.

mweleze mpenzi wako wako wa sasa hali halisi. Pia mwambie previous love wako asahau yaliyotokea. Usipokuwa mwangalifu atakuvunjia uchumba.
 
Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu.Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na kuendelea na huyo jamaa.Niliumia sana lakini Mungu mwema nikapata mwingine na tunaendelea vyema hope mwakani nitaoa.Muda mrefu sikumtafuta huyu msaliti sasa siku hizi amezidi kunitafuta mara i remember u so much,mara ur one in a million nikamwuliza kwani si una mtu wako ya nini kunisifia anadai ananimic sana juzi nilimwambia sasa hivi na mimi nina mpenzi mpya,baada ya hapo ndio kazidi kunipigia ingawa mimi sipendi hata kusikia sauti yake naombeni mnishauri niache kupokea simu zake au nimwambie asinipigie maana ananikumbusha maumivu yaliyopona na sifikirii kabisa kuwa nae hata ikitokea huyu kanizingua.

mwambie aache kukupigia...!! asikusumbue, uko bize na baby...!!
 
Kaka ogopa sana mwanamke ambaye umeachana nayee akakusababishia ukayumba kimaisha halafu akataka kurudiana na wewe.....in short mimi sikushauli urudiane nayee...cha msingi anza maisha mapya....na mpenzi wako wa sasa.. Hawa wanawake wengine hawafai mimi hapa nilipo nimefilisika kila kitu kwa ajili ya mwanamke na mwanamke amenikimbiaa nipo kwenye harakati za kuanza maisha upya ....
 
Mbona unaumia kichwa kwa ki2 kidogo..kam una uhakika dat haumuhitaji mpe MAKAVU YAKE thn black list zimewekwa kwa watu kama hao.
 
Back
Top Bottom