Mkuu huu ushauri wako unatishaaa
hatareeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu huu ushauri wako unatishaaa
Wakuu salaam,kuna jambo
linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu. Mimi
ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti
mmoja ambaye alinisaliti na kuendelea na huyo jamaa.
Niliumia sana lakini Mungu mwema nikapata mwingine na tunaendelea vyema
hope mwakani nitaoa. Muda mrefu sikumtafuta huyu msaliti sasa siku hizi
amezidi kunitafuta mara i remember u so much.
Mara you are one in a million nikamwuliza kwani si una mtu wako ya nini
kunisifia anadai ananimiss sana, juzi nilimwambia sasa hivi na mimi nina
mpenzi mpya.
Baada ya hapo ndio kazidi kunipigia ingawa mimi sipendi hata kusikia
sauti yake naombeni mnishauri niache kupokea simu zake au nimwambie
asinipigie maana ananikumbusha maumivu yaliyopona na sifikirii kabisa
kuwa nae hata ikitokea huyu kanizingua.[/QUOTE. mkuu acha udiamond, wee kuwa kauzu uone km hajapotea
mhhhh inategemea na kosa na mbwembwe alizoondoka nazo...mi kuna watu hata afanye nini saivi sirudi ng'oooooo,hadi yesu arudi Neverrr,
na kuna wengine i might consider hivi
kutopoke cm ya mtu yeyote ni ushamba na utumwa.sim yako alafu unamuhofia mtu....mtu yeyote usietaka mawasiliano nae unatakiwa upokee cm yke umwambie LIVE/UKWELI sitaki unipigie....akiwa mbishi 1.utamblock 2.kukata akikupigia 3.acha kupokea..usipomwabia chochote alafu ukauchuna unakuwa ujamtendea haki..so mwambie kwanza then akiendelea utachagua kati ya hayo matatu juu hapo...
hehehehe ,ungejuaa.
......