Aliniacha sasa ananisumbua

Aliniacha sasa ananisumbua

Mmege kiseraa kama ishara ya kujifuta machozi thn... Unamuacha kwa herufi kubwa.. Hapo utakua umeshinda kinoma noma... Dont leave ur enermy behind mkuu...
 
Kimchina na spelling majanga, na kwa kuwa namjibu ticha, nilirekebisha baada ya kugundua tu.

Kwa hali ya kawaida kila mtu ukigundua hutakiwi unakimbia fasta. Kila mtu nahisi ana 'ego' hivi.

Lakini sasa kuna saa sijui ni nini. Mie huwa na associate na some sort of revenge, the more mtu ananifuata the more nakimbia.mbali zaidi.

Hai make sense kabisa.

Your safety


Mi nikijua nakuwa ignored in the context of a relationship basi nami nauchuna. Huwaga sina shida kabisa na kuuchuna. It's like I was born that way.
 
Dogo naona bado roho inapwita pitwa juu ya hako kademu unless usingekuja hapa jukwaani kuomba ushauri, ask what ur heart tells u is the best old is gold
 
Ushauri wangu mchunie coz sio mwaminifu name endapo utarudiana nae mfikirie ulie nae kumbuka alikustiri ulipotoswa.
 
una kisasi naona
unataka aendelee kukusumbua ili kimoyomoyo useme 'kiko wapi'

but what if akiacha kukusumbua na kutafuta mwingine? roho haitakuuma?
kama haitakuuma basi mchunie tu

Exactly
 
Ss hatuna la kukushaur.ila akl kchwan mwako.kama na wewe umemmiss na unataka kupoza machungu ya kusaltiwa. Au kama unataka kutulia na ndoa yako ya mwakan ukfunga ndoa plzzz.nialike
 
being real and happy with ya life,full matukio social medias roho imuume ur happy hata bila yeye..

Unaweza kurudia tena kujieleza? Manake kama nimetoka kapa hivi....

Unamaanisha kwamba uishi maisha yenye furaha, ujichanganye sana kwenye social media na utafanya jitihada ajue unachofanya huko ili tu roho imuume (yaani huko kwenye social media, kwa mfano, uwe una-flirt sana na watu n.k.)

Yote hayo ni katika jitihada za kumwonyesha kuwa bila yeye bado maisha utayafurahia tu?
 
msamehe bwana mi naona huyo ndo wako wa sasa ilikuwa kupooza hasira hata ukimuoa hautakuwa na raha..ametubu msamehe amegundua kosa lake..na mapenzi ya hivi hudumu mana kila mtu anakuwa makini yasijerudia...
wa sasa nae akusamehe tu bwana akuache urudi kwa kipenda roho chako!!
 
Unaweza kurudia tena kujieleza? Manake kama nimetoka kapa hivi....

Unamaanisha kwamba uishi maisha yenye furaha, ujichanganye sana kwenye social media na utafanya jitihada ajue unachofanya huko ili tu roho imuume (yaani huko kwenye social media, kwa mfano, uwe una-flirt sana na watu n.k.)

Yote hayo ni katika jitihada za kumwonyesha kuwa bila yeye bado maisha utayafurahia tu?

why does somebody stalk you??
In my understanding he/she is interested/still cares/inlove
if they stalk and find its gloomy,umepauka pauka tu maisha yanaonekana mabaya on ur side that makes them happy,,,
now if u wanna be the winner here give them something to feel jealous about...like keep having ur full life even when they are not there,not necessarily flirtin wt other people but js live on the ppositive side,usiwe umepauka pauka tu na huzuni all the time kisa mtu...mara nyingi hata mi nikimfanyia mtu ubaya afu nikamuona like hajali hivi,roho huwa inaumaa,na kusema siwezi..so i guess it has a similar effect kwa wengine
Ila thts js my view of what to do to a stalker... Sijui umenipata walau saivi?
 
Bro ni kweli nilimpenda ila kwa sasa sifikirii kumpa nafasi maana najua anaendelea na jamaa na hata akiwa na mwingine kwangu poa tu sema sitaki mawasiliano nae tena sasa ndio nawaza nisipokee simu yake au nimwambie asinipigie kapisa

Sikiliza wewe hilo ni bomu la nyuklia, ni muharibifu mblock kabisa kama hautaki mawasiliano naye na una nia ya kweli ya kufunga ndoa mwakani.
 
msamehe bwana mi naona huyo ndo wako wa sasa ilikuwa kupooza hasira hata ukimuoa hautakuwa na raha..ametubu msamehe amegundua kosa lake..na mapenzi ya hivi hudumu mana kila mtu anakuwa makini yasijerudia...
wa sasa nae akusamehe tu bwana akuache urudi kwa kipenda roho chako!!

mhhhh inategemea na kosa na mbwembwe alizoondoka nazo...mi kuna watu hata afanye nini saivi sirudi ng'oooooo,hadi yesu arudi Neverrr,
na kuna wengine i might consider hivi
 
huyo atakuwa amesikia kuna mwenzie anaolewa na huko aliko ndoa haipo. Roho inamuuma na anachotaka kufanya ni kukuharibia ili ukose .
 
Usipokee simu zake, block namba zake. Na pia mwambie mchumba wako kinachoendelea. Huyo anataka kukuvunjia uchumba wako. So kuwa makini sana, yule mjaamaa lazima kampiga chini or anajuta au hapati wa kutaka kuwa nae.m ni feki huyo hana lolote. Fanya niliyokuambia. Kabla hauja block usipokee simu zake, na ndio maana nasema mwambie mchumba ili ajue au yeye ndio apokee. Huyo binti anaweza tafuta njia ya kumwingia na kumpa proof unaongea nae.

Muhimu usimtumie sms (text msg) kusema lolote ni moja ya ushahidi mkubwa na usimpigie simu. Good luck
 
muumize kisaikolojia tu ww chuna usijibu sm wala kupokea cmu atajiona mjinga na ataacha tu. lkn kama bado unampenfa vileee. kuwa makini wanawake wana akili sana hivyo tumia akili sana kuwa nao!
 
Back
Top Bottom