Alilia sana sijui kwanini.

Alilia sana sijui kwanini.

Mlio ulikuwa wa Maumivu au kawaida?Hapo ni mawili huenda jamaa alikuwa anaibiwa ili atoe hela nzuri au alimlawiti.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Aisee achen udwanzi mimi ni jogoo bwana

tatizo si ujogoo wako, hapa umeababisha watu wajiulize maswali, kuwa ya jamaa yako umeionea wapi kama ya akawaida? au huwa na yeye anakushuhulikia na wewe?????? na kama ni mwanaume huwezi kuandika maneno kama hayo hapa, tafakari halafu chukua hatua, siku nyingine kabla ya kuleta mada hapa ifikirie kwanza.
 
Aisee nilikuwa guest moja lakin guest yote ilitawaliwa na kelele za dada mmoja alokuwa anatoa penz kwa rafiki yangu mpaka leo bado najiuliza na cpati majibu kwanini alilia vile kwan stiki ya jamaa ni ya kawaida 2.


Ulijuaje kuwa stick ya jamaa ni ya saizi¿¿

Unafahamu saizi ya stick¿¿¿

Nina mashaka jinsia yako.
 
Kwani wewe ulimsindikiza rafiki yako au wewe ilikuwaje kuacha kushughulika na yako maskio yakakusimama kusikiliza ya wenzio?????????????
 
Yaani kuongezeka kwa form four wa shule za kata kumekuwa karaha kweli
 

mi hapa sijaelewa
ina maana we mleta mada wakati
wenzio wanananiliuuuu we ulikua unawaskilizia au unawachabo?
ulijuaje analia?khahahahaaaaaaaa!!
 
hilo swali majibu yote ni ya kubuni kwani chumbani walkuwemo wangapi? walokuwemo ndo wenye majibu sahii.
 
Ukute ndiyo INAHEMA sasa........ Ila hii Mabega, kweli wengi tunaomba ufafanue bana.
Wewe umejuaje stiki ya jamaa ni ya kawaida tu. Umeshawahi kuionja? Zingine zina mabega baba, ohooo!
 

mi hapa sijaelewa
ina maana we mleta mada wakati
wenzio wanananiliuuuu we ulikua unawaskilizia au unawachabo?
ulijuaje analia?khahahahaaaaaaaa!!

mmmhh . . . besti!
Ni kenyewe ndo kalimliza dada wa watu alafu kanajidai eti mbona mashine ya jamaa ya kawaida tu!
 
Wewe umejuaje stiki ya jamaa ni ya kawaida tu. Umeshawahi kuionja? Zingine zina mabega baba, ohooo!
Na mimi nilitaka kumuuliza swali kama hilo hilo.

Kama jamaa alikuwa haibiwi basi atakuwa anapita njia ya vumbi.
 
mmmhh . . . besti!
Ni kenyewe ndo kalimliza dada wa watu alafu kanajidai eti mbona mashine ya jamaa ya kawaida tu!

hahahaaa!!umekashtukia eee
kanajuaje mashine ya mwanaume mwenzie
eti ya kawaida khaaaaa!!
 
.....ukikua, utajua kwamba kuna nyakati viwango na vigezo vyote husika katika tendo vinakuwa 'vimejitosheleza!'
 
Back
Top Bottom