Mwaka aliomaliza unaujua na jina unalijua .ili kuwa na uhakika nae jaribu kufuatilia katika chuo alichosoma Kama utakuta kumbukumbu zakeNtawapataje?
inabidi mkuu ulelewe huyu alikuparamia kujibuHilo jambo la kihistoria ni lipi?
kwani hapa tunatafuta thibati ya nini?
Hapa naulizia jambo linalosemekana lipo sekunde hii wewe unaleta kitabu cha wachambia mchanga miaka 1500 iliyopita?
Sawa na Mtu aseme kuna nchi inaitwa Czechoslovakia..halafu ushahidi uwe ni kitabu cha miaka ya 1800..
Furthermore it begs an inescapable question:Haya prove hayo yaliyoandikwa kwenye hicho kitabu kuhusu majini ni ukweli.
Nimekuuliza swali,kwanini siwezi kuandika aya kama ya Quran?nijibu hili then nikutungie aya chap


.

.uthibitishe majini yanafungwa.
,kifupi ameubeba huu mdaharo personal.Mpezi gani ambae bado hajakuto...mb.Nimempa mtu baadhi vyenye maana
Vitabu nimetupa
But hata vitabu vyenyewe na picha havitoki.
Ishu sio vitu.ishu ni yeye
Au mpenzi wa kwanza maishani ndo anakuwaga hivi?
hawa ndio wakibanwa kwenye angle mbaya na kiranga wanapapalika sio poaNapataga kazi sana kuchambua maandishi yako yenye maana..enwei
upuuzi mtupu..kusema tu kitabu ni cha kweli haikifanyi kiwe cha kweli,prove ukweli wake katika kila instance...mfano hapa prove ukweli wa hiyo sura ya majini kuwa yanayoongelewa humo ni ya kweliEnhee hapa ndo kidogo unakaribia karibia...Haya hizo Athari zake zithibitishe hapa...na kama unaishi nao au ni mmoja wao lithibitishe hilo hapakwahyo sasa maneno yangu yamekuwa ithibati tosha...Sasa kama ni hivyo basi hata niliposema majini yanafugika maneno yangu yangekuwa ithibati tosha.
Hujanijibu..taja post
Nauliza tena..kwanini nishindwe kuandika aya kama ya Quran?ukijibu hilo swali rahisi naileta hiyo aya

.Mwisho saa ngapi maana napendelea unihudumie kuanzia saa nne usiku ndio muda mzuri![]()
We kondoo una masharti, haya tuanze huduma saa nne mpaka saa sita utaweza lakini huduma huwa ina upako sanaSoma ulichokiandika hujaona nimeandika "upumbavu" ?kwahyo sasa maneno yangu yamekuwa ithibati tosha...Sasa kama ni hivyo basi hata niliposema majini yanafugika maneno yangu yangekuwa ithibati tosha.
Ana ku hunt vip..wee nyoosha maelezo yako...usije kuwa umesoma kwenye gazete ukahamishia huku ana ku hunt vpSina.ni miaka kumi sasa
He is hunting me like a ghost
Nasahau majina ya wengi ila sio lake
ukiitumia JF kwa muda utajifunza kuna watu wapo kubishana,kujifunza,kukosoa,kukejeli,kuelimisha,kupata elimu nk.inabidi mkuu ulelewe huyu alikuparamia kujibu.
tokea mwanzo anabisha kuhusu ufugaji wa majini,sikuona anabisha katika namna ya kutokuwepo majino,ila katika namna ya kukukatalia wewe.simple tu.
ndio maana hoja za kukutaka wewe uthibitishe zikaibuka.uthibitishe majini yanafungwa.
ajabu yeye unamwambia athibitishe tu uwepo wa majini,anapuyanga kurasa ya tano hii,kifupi ameubeba huu mdaharo personal.
Ni mimi apa naomba nijatambulishe mods na wadau humu naitwa jini mashack natokea bahar ya atlantika leo usiku ntakutembelea shart uoge uvae nguo rain na pafyumu nzur usisahau udi mpenz wazaz wangu walinizuia nisikuoe tabu ilianzia hapo yale yote ulioona yalifanyika baharin ili kwako ilikuwa kiin machp ukaona ni tabata sikutak ujue hili baby nichek PMHistoria inaanza hivi...
Kipindi nkiwa bado shule secondari miaka kumi sasa imepita, nilinunuliwa simu na bro wangu. Siku moja ghafla mida ya mchana iliingia SMS kutoka kwa namba ngeni ikisomeka "ukitoka hostel nijulishe uniazime kitabu chako" sikumbuki sawa sawa but nimeotea tu kwa kumbukumbu.
Nikaanza kuchat nae kitabu gani na wewe nani. Ndipo mbele akagundua amekosea number na kuomba radhi kwamba alikuwa anamtumia mdada mmoja classmate wake namba zinafanana baadae tukaanza kufahamiana kwa kuendelea kuchat.
Alijitambulisha anaitwa Jimmson Henry, anasoma chuo kikuu mlimani (UDSM). Yuko mwaka wa pili bachelor degree ya information technology (IT). Anaishi hostel za mabibo lakini kwao Tabata.
His paternity origin is Ngazdja from Comoros islands, and Lindi mtwara kwa upande wa mama. He was so talkative,cheerful,funny na utani mwingi!
Tuliendelea na mazoea ya kuwasiliana, alinieleza mengi kuhusu maisha yake nami yangu pia.
Mwisho sababu ya ujana akaanza kuniomba nafasi nami nikampaa bila hata kumuona.
Mazoea yaliendelea ikafika muda nipo likizo akaomba tufahamiane kwetu tunapoishi, alianza yeye nikamleta kwetu hadI bi mkubwa alimuona.
Ikafika zamu yangu nikaunga "tuisheni" kwao maeneo ya Tabata liwiti.
Nilivyofika kwao aliweza kunitambulisha kwa mdogo wake wa kiume hawapishani sana kiumri anaitwa James. Tuliongea mengi na kuna mzee jirani pia alikuwa ni seremala naye akamuuliza huyu nani akanitambulisha rafiki yake.
Baada ya kuondoka tukaanza kuwasiliana ananiambia we ni mzuri sana hadi huyu mzee hapa jirani ananitania yule mrembo umemtoa wapi, kakangu pia!
Few months later akamaliza mwaka wa pili na kuwa likizo na mimi nkiwa natarajia kuingia mitihani yangu ya final.
Akanijuza kapata mwaliko America kutoka kwa rafiki zake wawili na taratibu zote za visa, tickect kafanya kwa gharama za wenyeji wake akafanikiwa kwenda. Alikaa kwa miezi mwili tunawasiliana kwa njia ya email nkiwa na mdogo wake.
Akirudi na tukaanza kuwasiliana as usually.
Kufupisha kuna kipindi alikua anapitia majukumu magumu ya kifamilia kama mtoto wa kwanza kwao, akawa anakosa hata muda nami. Nami nikawa frustrated na mambo yangu tukakorofishana na kupotezeana.
Baada ya mwaka mmoja nikiwa chuo sikuweza kuhimili alikuwa amenikaa sana kichwani hadI napata msongo wa mawazo.
Nikajiambia kwao napakumbuka nijaribu kwenda. Nilipanga weekend asubuhi nikaifikia nyumba nikiwa nimekaa mbali kidogo nione kama atatokea mtu.
Masaa yalipita nikahisi hawapo japo mlango upo wazi. Akatokea mdada mrefu mweupe nikajua atakuwa member mojawapo wa familia.
Nilisogea na kumsalimia akanijibu nikaanza kumuulizia jamaa wakaanza kushangaa hawamjui. Nilitaka details zote hadI wadogo zake na Dada zake hawamjui.
kuulizia ile nyumba wale wadada wanadai wao wameishi pale tangu udogoni na mtaa mzima wanawajua. Haijawahi kuishi familia nyingine hata kupangisha.
nikawauliza kama kuliwahi kuwa na mzee seremala upande wa nyumba anaranda mbao wanajibu hakujawahi kuwa na fundi seremala hapo.
Na nikiangalia like eneo naona tupu hakuna dalili yoyote hata mzee kuacha mabenchi ya mbao.
Kuna maduka around nikawa nawauliza wanadai hawajahi kuishi na mtu wa aina hiyo, hawamjui
Lakini nyumba ni ile ile hadI ndani kuko vile vile. Mpaka sasa sipati jibu.
Maana alishare nami vitu vingi mno mpaka harusi ya mdogo wake ilifanyika kwenye nyumba hiyohiyo.
Safari zake zote mamake ahata akiwa anaumwa na2julishwa nimpe pole mkwe. Plans zake zote.
Mfano alivorudi kutoka America alipewa zawadi ya gari akaghairi sababu hana uwezo wa kuhudumia, akaomba badala yake atumiwe vifaa vya office tufungue stationary kubwa Kijitonyama.
Alikua so bright kiasi anapata nafasi za kazi kwenye biashara na makampuni za maprofessor wake. Kila kitu ndani ya ofisi anashanami.
Mpaka sasa ananiwinda kichwani kama mzimu na hapo kwao ndo hivi kama nilivyopakuta sijapata majibu hadI sasa.
Alikuwa nani?
kama ni 'upumbavu' imekuwaje ithibati tosha?Soma ulichokiandika hujaona nimeandika "upumbavu" ?
Kijana unapenda kupoteza sana muda, hilo la aya nimeshakupa ruhusa tena ujichagulie.kama ni 'upumbavu' imekuwaje ithibati tosha?
Mzee nishaanza kutunga vimistari vya Quran hapa nasubiri unipe Go ahead kwa kunipa sababu kwanini hamna mtu anayeweza...
Na mm nakazia uzinakazia
Na mm nakazia uzinakazia
wewe huwezi na hutaweza kuthibitisha uwepo wa hayo majinni utabakiza pauka pakawa...hoja zangu nyingi unazikimbia.Kijana unapenda kupoteza sana muda, hilo la aya nimeshakupa ruhusa tena ujichagulie.
Nakazianakazia
Udsm haikuwahi kuwa na IT yaan degree yenye jina IT zaidi ya computer scienceUlizia classmate wake wa intake yao. Huko chuo