The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,843
- 3,259
Duuu wap sas uwa unawap nasaha mkuuKwa majini hili huwa kawaida watu huwa wanasoma nao na kuhitimu nao bila kustukiwa kama ni majini, kwahiyo anaweza kumuulizia na akapata taarifa zake kama kawaida, ila "sometimes" majini wenyewe huwa wanapuyanga na kustukiwa pindi wafanyapo matukio ya ajabu.
Ndiyo maana huwa tunawapa nasaha majini wanapo amua kuja kuchukua ujuzi kwetu sisi binadamu basi wasiwe wnafanya matukio ya ajabu, sababu huwa wanatuathiri sisi na mfano wake.