Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,406
- 10,535
- Thread starter
- #21
Hatukukutana sababu ya misimamo yangu.nidhamu ya shuleAlikua kitatanishi, kama hakupiga nahofu hakua mwanadam, kama alipiga ni mwanadam, viumbe vya kiroho hasa majini yanavumilia sana....
Nae pia aliniheshimu maamuzi yangu
Naamini alikua wa kawaida lakini pale kwao ndo pananipa maswali yasiyojibika
Hata kama aliomba mtu azugie wenye nymba wote hawakuwepo na kujua?hata vijana wa rika lake?
Alikua ananipa mpaka story za majirani na visa vyao na siku nlipoenda kwa Mara ya kwanza nlikuta wadada wamekaa jirani wanasukana.ina maana si kuna majirani walikua wanamwona hata alienda chooni wanamwona
