Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,406
#311 sio 313...sasa kama unaona 343 umeijibu yote poaTuliza akili kijana, powt #343 nimekujibu kwa kuuliza swali, sababu umekuwa ukirudia sana nukta hiyo.
Post #313 siyo yako na haina swali.
#311 sio 313...sasa kama unaona 343 umeijibu yote poaTuliza akili kijana, powt #343 nimekujibu kwa kuuliza swali, sababu umekuwa ukirudia sana nukta hiyo.
Post #313 siyo yako na haina swali.
Malizana kwanza na mimi kwingine usinkimbie ndiyo tuje na hapa...maana nshaona napoteza muda kujibishana nawewe halafu haujibu hoja zanguTuwekee ushahidi unao thibitisha ya kuwa alijua ni pepo na utuonyeshe ya kuwa wapi alitaka kujiua.
Weka ushahidi kuthibitisha maneno haya.
Inakuwaje huambatanishi na ushahidi ? Weka ushahidi.
Na wewe unalo, sasa uongo uko wapi hapo ?
Kurogwa alirogwa ila hii ya mwaka mzima inabidi utupe ushahidi.
Hili sahihi kabisa halina shaka kabisa.
Labda utupe sababu ya ulazima wa Jibril aonekane na wakeze mtume ili iweje wakati mkusudiwa ni Mtume ?
Hii si kweli kwamba anaogoa Mbwa bali katika maumbile yao Malaika hawaingii katika nyumba yenye Mbwa au picha ya Mbwa. Kama malaika wawili waliweza kuwaangamiza watu wa Sodoma, iweje Malaika huyu mtukufu ashindwe kufanya hilo. Huu ulio andika ni upuuzi na uelewa mbaya wa maandiko na upotoshaji.
Siyo Dahl hakuna mtu mwenye jina hilo labda utuambie jina hili umelipara wapi. Malaika Jibril alikuwa akija katika umbile la kibinadamu anatumia umbile la swahaba aitwaye Dihyah al-Kalbiy, sababu alikwa ana muonekano mzuri sana.
Hayo mengine inabidi utupe ushabidi, usikimbie kama ilivyo ada yako.
Nipo....
Sasa ongeza umakini.#311 sio 313...sasa kama unaona 343 umeijibu yote poa
Tumalizane wapi wakati unarudia hoja na nimeshakujibu. Napika kote kote, nakuchapa huku na nakuchapa na huko, na popote nitakapo kuona nakuchapa tu, mwendo ni huu huu.Malizana kwanza na mimi kwingine usinkimbie ndiyo tuje na hapa...maana nshaona napoteza muda kujibishana nawewe halafu haujibu hoja zangu
Yeah mpenzi wa kwanza maishani ndio anavyokuwaga hivyo ... Niliwahi kuwa na crush 1 hivi nilimpenda enzi za primary .. I swear kiufupi sijawahi kupenda ktk maisha yangu Kama nilivyowahi kumpenda yeye .. imepita miaka mingi Sana tangu maisha ya tuteganishe but you can't blv Kuna Wakati huwa ananitokea ndotoni na kunikumbusha zile kumbukizi za utotoni ....Nimempa mtu baadhi vyenye maana
Vitabu nimetupa
But hata vitabu vyenyewe na picha havitoki.
Ishu sio vitu.ishu ni yeye
Au mpenzi wa kwanza maishani ndo anakuwaga hivi?
Wazee wa fursaAcha uongo wewe dada. Kwa nn unadanganya watu.Yule kijana yupo na alitembea na wewe muda wote huo.Kama unataka kumuona nitakusaida ila ni mgonjwa sana nicheki


Chai tu hizoMatukio ya hivi nishasikia mara kadhaa kwny simulizi kwa redio za dini.
Uzi huu ungeweka kwny jukwaa la dini ungeshapata mwongozo wenye tija. Hapa majority hawana habari na mambo hayo

Fiction story tu hiziViumbe hao wana uwezo wa kujibadilisha kuwa chochote. Anaeza chukua hata sura yako akawa wewe!
DuhhhNimejikuta nasoma comments zote hadi ya mwisho..
Pole yako Dada ..
Umesema ndo alikua mpenzi wa kwanza vipi tukiachana Na huyo umekua Na wangap? Mpaka now Na yupi Kati yao alie kutoa bkr?








Story tu hizo ..Kama za samaki mtuChief wewe utakuwa karibu sana na ukweli kama mtoa mada atakuwa ni mkweli pia.
Visa vya Majini vipo na watu wanasoma na majini na kuishi nayo miaka na mikaka. Ila hili tukio, ngoja nirudi kwenye makabrasha yangu kwanza.


hakunaga uhalisia huoTuwekee picha yake ya mwisho alipokuwa nawe, huenda nasi tunamjuwa kwani tupo hapa hapa Kijitonyama.Historia inaanza hivi...
Kipindi nkiwa bado shule secondari miaka kumi sasa imepita, nilinunuliwa simu na bro wangu. Siku moja ghafla mida ya mchana iliingia SMS kutoka kwa namba ngeni ikisomeka "ukitoka hostel nijulishe uniazime kitabu chako" sikumbuki sawa sawa but nimeotea tu kwa kumbukumbu.
Nikaanza kuchat nae kitabu gani na wewe nani. Ndipo mbele akagundua amekosea number na kuomba radhi kwamba alikuwa anamtumia mdada mmoja classmate wake namba zinafanana baadae tukaanza kufahamiana kwa kuendelea kuchat.
Alijitambulisha anaitwa Jimmson Henry, anasoma chuo kikuu mlimani (UDSM). Yuko mwaka wa pili bachelor degree ya information technology (IT). Anaishi hostel za mabibo lakini kwao Tabata.
His paternity origin is Ngazdja from Comoros islands, and Lindi mtwara kwa upande wa mama. He was so talkative,cheerful,funny na utani mwingi!
Tuliendelea na mazoea ya kuwasiliana, alinieleza mengi kuhusu maisha yake nami yangu pia.
Mwisho sababu ya ujana akaanza kuniomba nafasi nami nikampaa bila hata kumuona.
Mazoea yaliendelea ikafika muda nipo likizo akaomba tufahamiane kwetu tunapoishi, alianza yeye nikamleta kwetu hadI bi mkubwa alimuona.
Ikafika zamu yangu nikaunga "tuisheni" kwao maeneo ya Tabata liwiti.
Nilivyofika kwao aliweza kunitambulisha kwa mdogo wake wa kiume hawapishani sana kiumri anaitwa James. Tuliongea mengi na kuna mzee jirani pia alikuwa ni seremala naye akamuuliza huyu nani akanitambulisha rafiki yake.
Baada ya kuondoka tukaanza kuwasiliana ananiambia we ni mzuri sana hadi huyu mzee hapa jirani ananitania yule mrembo umemtoa wapi, kakangu pia!
Few months later akamaliza mwaka wa pili na kuwa likizo na mimi nkiwa natarajia kuingia mitihani yangu ya final.
Akanijuza kapata mwaliko America kutoka kwa rafiki zake wawili na taratibu zote za visa, tickect kafanya kwa gharama za wenyeji wake akafanikiwa kwenda. Alikaa kwa miezi mwili tunawasiliana kwa njia ya email nkiwa na mdogo wake.
Akirudi na tukaanza kuwasiliana as usually.
Kufupisha kuna kipindi alikua anapitia majukumu magumu ya kifamilia kama mtoto wa kwanza kwao, akawa anakosa hata muda nami. Nami nikawa frustrated na mambo yangu tukakorofishana na kupotezeana.
Baada ya mwaka mmoja nikiwa chuo sikuweza kuhimili alikuwa amenikaa sana kichwani hadI napata msongo wa mawazo.
Nikajiambia kwao napakumbuka nijaribu kwenda. Nilipanga weekend asubuhi nikaifikia nyumba nikiwa nimekaa mbali kidogo nione kama atatokea mtu.
Masaa yalipita nikahisi hawapo japo mlango upo wazi. Akatokea mdada mrefu mweupe nikajua atakuwa member mojawapo wa familia.
Nilisogea na kumsalimia akanijibu nikaanza kumuulizia jamaa wakaanza kushangaa hawamjui. Nilitaka details zote hadI wadogo zake na Dada zake hawamjui.
kuulizia ile nyumba wale wadada wanadai wao wameishi pale tangu udogoni na mtaa mzima wanawajua. Haijawahi kuishi familia nyingine hata kupangisha.
nikawauliza kama kuliwahi kuwa na mzee seremala upande wa nyumba anaranda mbao wanajibu hakujawahi kuwa na fundi seremala hapo.
Na nikiangalia like eneo naona tupu hakuna dalili yoyote hata mzee kuacha mabenchi ya mbao.
Kuna maduka around nikawa nawauliza wanadai hawajahi kuishi na mtu wa aina hiyo, hawamjui
Lakini nyumba ni ile ile hadI ndani kuko vile vile. Mpaka sasa sipati jibu.
Maana alishare nami vitu vingi mno mpaka harusi ya mdogo wake ilifanyika kwenye nyumba hiyohiyo.
Safari zake zote mamake ahata akiwa anaumwa na2julishwa nimpe pole mkwe. Plans zake zote.
Mfano alivorudi kutoka America alipewa zawadi ya gari akaghairi sababu hana uwezo wa kuhudumia, akaomba badala yake atumiwe vifaa vya office tufungue stationary kubwa Kijitonyama.
Alikua so bright kiasi anapata nafasi za kazi kwenye biashara na makampuni za maprofessor wake. Kila kitu ndani ya ofisi anashare nami.
Mpaka sasa ananiwinda kichwani kama mzimu na hapo kwao ndo hivi kama nilivyopakuta sijapata majibu hadI sasa.
Alikuwa nani?
Mlipiga mechiYeah mpenzi wa kwanza maishani ndio anavyokuwaga hivyo ... Niliwahi kuwa na crush 1 hivi nilimpenda enzi za primary .. I swear kiufupi sijawahi kupenda ktk maisha yangu Kama nilivyowahi kumpenda yeye .. imepita miaka mingi Sana tangu maisha ya tuteganishe but you can't blv Kuna Wakati huwa ananitokea ndotoni na kunikumbusha zile kumbukizi za utotoni ....
?Haya umeshaelewa kwahyo nikubembeleze tena kujibu sioSasa ongeza umakini.
Hakuna kitu unachojibu unaruka ruka tu...sasa kuendeleza hoja zingine na wewe ni sawa na kutukana muda niliopoteza huko nyuma.Tumalizane wapi wakati unarudia hoja na nimeshakujibu. Napika kote kote, nakuchapa huku na nakuchapa na huko, na popote nitakapo kuona nakuchapa tu, mwendo ni huu huu.
Mimi nipo, sema wapi hujajibiwa na hili la sasa unatakiwa kutuwekea ithibati, hakuna kukwepa kitu.
Tuheshimiane...kama wewe ni jinni au una majini usitujumuishe wote kwenye ushetani wenuNa wewe unalo, sasa uongo uko wapi hapo ?
Unaweza kueleza ninganishe habari?Yah yanakuwa kama mazingaobwe maana wao wanauwezo wa kucheza na akili zetu.Hukuwa kusikia Kile kisa cha driver Tax aliyekuwa anampeleka mteja wake kigamboni usiku wa manane, wakati feri haifanyi kazi