Ndo tabia ya majini haoKwakweli.
Nimeweza kuwasahau wengi ila huyu hanitoki
Ndo tabia ya majini haoKwakweli.
Nimeweza kuwasahau wengi ila huyu hanitoki
Yas mfuga majini at peakKwa majini hili huwa kawaida watu huwa wanasoma nao na kuhitimu nao bila kustukiwa kama ni majini, kwahiyo anaweza kumuulizia na akapata taarifa zake kama kawaida, ila "sometimes" majini wenyewe huwa wanapuyanga na kustukiwa pindi wafanyapo matukio ya ajabu.
Ndiyo maana huwa tunawapa nasaha majini wanapo amua kuja kuchukua ujuzi kwetu sisi binadamu basi wasiwe wnafanya matukio ya ajabu, sababu huwa wanatuathiri sisi na mfano wake.
Hivi hii ni mytj au kweli?Atakuwa huyo mwenyewe ndo jini anatafuta mtu ajichanganye. Sasa nyie wa p.m mkikutana nae msisahau kamfupa ka kitimoto
Mambo hayo yapo mkuu ,siku moja nlikuwa naendesha bajaji nyuma walikaa wazee wawil nawatoa mombasa nawaleta kwadiwan ukonga ,mmoja akashuka akabak mmoja ,so muda wote ananiuloza relin bado ,nikamjibu bado nikifika ntakushusha sabb upo wewe mwenyew siwez kukupitisha ,ndani ya dakika tano tufike eneo husika (relini ) nageuka nyuma simuoni kwenye bajaji na sikusimamisha popote kumshusha ,unafikir alikuwa wa kawaida ???Wew umekosea nyumba or otherwise wew ndio una shida kichwani hakunaga scenario za hivo maishani
Aisee kumbe Mambo ni mazito dunia ya GizaMambo hayo yapo mkuu ,siku moja nlikuwa naendesha bajaji nyuma walikaa wazee wawil nawatoa mombasa nawaleta kwadiwan ukonga ,mmoja akashuka akabak mmoja ,so muda wote ananiuloza relin bado ,nikamjibu bado nikifika ntakushusha sabb upo wewe mwenyew siwez kukupitisha ,ndani ya dakika tano tufike eneo husika (relini ) nageuka nyuma simuoni kwenye bajaji na sikusimamisha popote kumshusha ,unafikir alikuwa wa kawaida ???
Ni wapole? Wana busara na wanyenyekevu?Exactly , Yani kukufanya wewe uone vile wanavyo taka.
Huyo binti nakumbuka kilikuwa kipindi sijui Cha wasafi Cha radio kitu kma hvyo
Alianza kuota ndoto kila siku before kumuona huyo mtu.
Niliwahi kukutana na kadhia kama hii yaliyonikuta nilikuwa nakaribia kuitwa marehemu ni stori ndefu Sana na msisitizia huyo dada akazane kwenda kwenye maombi mwisho wake hautokua mzuri trust meHongera dada Abigail Mungu wako alikukinga, nafikiri ulikuwa ukitembea na neema kubwa sana.
Mungu anakupenda sana hao viumbe hawajahi acha mtu salama.
Vipi lakini do you have feelings for men/ man na je mahusiano yako yakoje yamenyooka au kona nyingi(difficulties)
Leta kisa mkuu....tupate dodoso na elimu kidogoNiliwahi kukutana na kadhia kama hii yaliyonikuta nilikuwa nakaribia kuitwa marehemu ni stori ndefu Sana na msisitizia huyo dada akazane kwenda kwenye maombi mwisho wake hautokua mzuri trust me
Sawa. Ukirudi pekenyua hiyo mitaa yote ya pande hizo. Zungukia na upande mwingine,rudi upande wa juu,wa chini,kushoto,kulia pita katikati. Kama utafanikiwa kupapata,usisahau kupitia kuupitia tena ule mtaa uliochanganya na huo. Vile vile usisahau kuleta mrejesho iwe umeupata au hujaupata ili tukupe tena mawazo mapyaBaadae napanga nirudi tena
Hakuna mtu aliyewahi kufuga majini wala mwenye kufuga majini. Sababu wao wamepewa uwezo mkubwa wa ufanyaji mambo kuzidi sisi. Mwenye kufuga majini au anaye dai kufuga majini huyo ni muogo, mwambie akushikie Jini moja akuletee ulione.Yas mfuga majini at peak
Mhhhhhhh!???
kwani mnakubaligi basiHakuna mtu aliyewahi kufuga majini wala mwenye kufuga majini. Sababu wao wamepewa uwezo mkubwa wa ufanyaji mambo kuzidi sisi. Mwenye kufuga majini au anaye dai kufuga majini huyo ni muogo, mwambie akushikie Jini moja akuletee ulione.
Sababu wewe ni kilaza ulivyosikia habari za pauka pakawa kwa watu wasio wakweli kwamba Waislamu wanafuga majini, ukayabeba kama yalivyo. Akili mmepewa bure mzitumie vizuri.
Kama hatukubali wewe umeyajuaje na ukayathibitishaje kama ni ya kweli ?kwani mnakubaligi basi