Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,405
- 10,532
- Thread starter
- #201
Asante mkuuPolee mkuu ..!!
Asante mkuuPolee mkuu ..!!
Kwa hiyo wewe na Elimu yako yote unaamini jini linafugika?Limekuwa kuku au paka au singura hilo?kwani mnakubaligi basi
Sawa..mpe hi jinn aliyekusaidia mawazo ya kunitukana hapaKama hatukubali wewe umeyajuaje na ukayathibitishaje kama ni ya kweli ?
Nilishawahi kukwambia wewe ni kinara wa vilaza humu, nimeshakupa njia lakini bado unalia lia, fanya uchunguzi ujiridhishe kisha uje kuleta ushahidi humu. Sio unakuwa kama sponji unafyonza kila kimiminika ukiwekwa kwenye mkojo unafyonza mkojo, ukiwekwa kwenye mafuta kadhalika.
Mnapenda sana kusikia na si kuhakiki habari.
Kazi yangu nimemaliza.
Haikuwahi tokeaNatamani kujua kama mlipeana makisi na mkaenda hadi 6 kwa 6.
Hapa ndipo inaweza patikana solution.
kwahyo halifugiki ila linafanyeje?Kwa hiyo wewe na Elimu yako yote unaamini jini linafugika?Limekuwa kuku au paka au singura hilo?
Huwa situkani bali huwa nampa mtu stahiki yake. Na hili ndilo nililo fanya hapa.Sawa..mpe hi jinn aliyekusaidia mawazo ya kunitukana hapa
Hahahaa utakuja unisindikizeSawa. Ukirudi pekenyua hiyo mitaa yote ya pande hizo. Zungukia na upande mwingine,rudi upande wa juu,wa chini,kushoto,kulia pita katikati. Kama utafanikiwa kupapata,usisahau kupitia kuupitia tena ule mtaa uliochanganya na huo. Vile vile usisahau kuleta mrejesho iwe umeupata au hujaupata ili tukupe tena mawazo mapya
Waliokwambia jini linafugika waambie wakukamatie moja wakuletee.kwahyo halifugiki ila linafanyeje?
Haya basi linafugika mkuu.kwahyo halifugiki ila linafanyeje?
Amedanganywa kwamba kuna watu wanafuga majini na yeye na elimu yake amemeza nzimanzimaWaliokwambia jini linafugika waambie wakukamatie moja wakuletee.
Kijana unaujinga ulio pea sana.
I can't force you to believe what I said.Girl, you lived in the world of fantasy and you want to bring it into reality.
simply a fantasy.
Hawa wakupiga makofi. Hawajui kama hao washirikina na wachawi wanategemea habari toka kwa majini ndiyo wawadanganye watu.Amedanganywa kwamba kuna watu wanafuga majini na yeye na elimu yake amemeza nzimanzima
Huwa situkani bali huwa nampa mtu stahiki yake. Na hili ndilo nililo fanya hapa.
Haya naona umepewa nasaha na jini hapa utype hivo...maana mnapeana nasaha na kushirikiana na marafiki zako majinNdiyo maana huwa tunawapa nasaha majini wanapo amua kuja kuchukua ujuzi kwetu sisi binadamu basi wasiwe wnafanya matukio ya ajabu, sababu huwa wanatuathiri sisi na mfano wake.
mbona swali simple unafail?Haya basi linafugika mkuu.
Leta ushahidi unao onyesha ya kuwa kuna watu wanauga majini.Haya naona umepewa nasaha na jini hapa utype hivo...maana mnapeana nasaha na kushirikiana na marafiki zako majin
Wewe unawajua majinni wote na watu wote duniani mpaka ujue hakuna mtu anayefuga jini?Amedanganywa kwamba kuna watu wanafuga majini na yeye na elimu yake amemeza nzimanzima
Haya wewe leta Ushahidi kuwa kuna majiniLeta ushahidi unao onyesha ya kuwa kuna watu wanauga majini.
Hatulei wajinga na ujinga.
Labda walibadili majinaComoro mtu anaitwa Henry??
Possibility kubwa umekosea nyumba au kitongoji.. inawezekana ni tabata hiyo hiyo
Ila upande Mwingine..
Unaweza fanya hivi tafuta fundi seremala yeyote maeneo hayo wa wa zamani
Ambae alikuwa fundi seremala miaka hiyo
Lazima mafundi seremala wanajuana WA eneo moja...uanze kumsimulia kisa kisa chako
Kingine wakati Una search eleza ni mtu wa asili ya comoro..
Mfano ukimpata fundi seremala wa wa tabata liwiti ambae amefanya hiyo shughuli almost miaka 15 mwambie unamuulizia fundi aliekuwa anafanya kazi kwenye nyumba ya wa commoro Kwa nje ..
Hapo utapata pa kuanzia..
Mhh mkuuHuyo alikuwa ni Secret Agent na huenda kweli alitoka Comoro au ni Mtanzania Mwenzetu. Alikamilisha kazi yake na kuondoka. Na mara nyingi wao ni mabingwa wa kubadilisha locations na namba za simu. Yaani hawana permanent phone number wakiwa kwenye mission. Na akimaliza Mission huteketeza namba zite za mawasiliano. Hivyo hakuna cha majini wala mdogo wake jini.