Alikuwa binadamu kweli?

Alikuwa binadamu kweli?

Unaweza kuishi mahala kwa zaidi ya miaka mitano na nyumba ni yenu mmejenga.unaishi na wazazi wako na wadogo zako wengi tu ila siku mtu akina mtaani anawaulizia hata nyumba zinazopakana wanasema hawajawahi kuishi watu hao hapo?
Wadogo zako qanasoma shule za Kara maeneo hayohayo bado watu hawawajui.
Au yule kijana aliwaambia watu wa hile nyumba wakati anahama asitaje anapohamia mtu yoyote akijaulizia
 
Au yule kijana aliwaambia watu wa hile nyumba wakati anahama asitaje anapohamia mtu yoyote akijaulizia
Itakuwa hivo
Ila sasa nawaza kawaambia mtaa mzima?
HadI maduka majirani
Hata kama wasiseme alipoenda je wakane pia hawamjui kabisa??
Hivi unaweza kuwa na rafiki ako mliszoeana mpotezane halafu uambiwe hakuna binadamu wa kawaida?
 
Wew umekosea nyumba or otherwise wew ndio una shida kichwani hakunaga scenario za hivo maishani
 
Matukio ya hivi nishasikia mara kadhaa kwny simulizi kwa redio za dini.

Uzi huu ungeweka kwny jukwaa la dini ungeshapata mwongozo wenye tija. Hapa majority hawana habari na mambo hayo
 
Wew umekosea nyumba or otherwise wew ndio una shida kichwani hakunaga scenario za hivo maishani
Kama huamini basi
Mtu tumepanda mpaka daladala wote..tumekula wote
Anampigia simu bi mkubwa kumbe anaoga anapokea mzee kwa hofu baada ya kusikia besi anakata hahaa anakuja kunisimulia huku anatetemeka
Ni baadhi ya moment nilizopitia nae
 
Kama ni jini inawezekana bado upo kwny target yake.

Pia ujue mikasa ya rohoni inasuluhishwa rohoni. Ni vzr ukitafuta kuondokana naye
Ni binadamu wa kawaida
Swali lililokosa jibu ni pale kwao
Lakini huku mwingine nasema ni binadamu wa kawaida..siwezi kubali
 
Back
Top Bottom