Alikuwa binadamu kweli?

Anaweza kuwa sio human being

Mana wanaweza kuishi kupitia roho za watu.
Mwaka Jana nilisikia kwa story za radio mtu Kama wewe alipelekwa kwa pagala tu lkn yeye aliona nyumba nzuri tu.

Usiogope bhna zidi katika maombi.
Sawa mkuu
But Wana uwezo wa kutunga hadI vitu halisi kweli?
Siamini
 
Hatukukutana sababu ya misimamo yangu.nidhamu ya shule
Nae pia aliniheshimu maamuzi yangu

Naamini alikua wa kawaida lakini pale kwao ndo pananipa maswali yasiyojibika
Hata kama aliomba mtu azugie wenye nymba wote hawakuwepo na kujua?hata vijana wa rika lake?

Alikua ananipa mpaka story za majirani na visa vyao na siku nlipoenda kwa Mara ya kwanza nlikuta wadada wamekaa jirani wanasukana.ina maana si kuna majirani walikua wanamwona hata alienda chooni wanamwona
We ulikutana na jini tu, huenda hata ulipelekwa juu ya mti huwa inakuwa hivyo unapelekwa sehemu unakutana na watu ila siku ukija itafuta ukaiona utashangaa kila mtu anashangaa mbona hakuna mtu kama huyo
 
Ile mail mliokua mnawasiliana akiwa aneenda Marekani ndiyo ingekua nzuri kumfuatilia, cha ajabu nayo imepoteza how comes ulikua unafuta msg zake? Ukienda kwenye list ya watu ulikua unachat nao utaipata lazima iwe pale, nani atakua ameifuta
 
Acha kukompliket nimekuitaje, anyway usicompliacate jina,

wewe unashida nahisi umepoteza kumbukumbu hujijui, chuo si alikua na marafiki wewe si ulimkuta chuo sasa aweje kuwa sio binadamu wa kawaida
Kwa majini hili huwa kawaida watu huwa wanasoma nao na kuhitimu nao bila kustukiwa kama ni majini, kwahiyo anaweza kumuulizia na akapata taarifa zake kama kawaida, ila "sometimes" majini wenyewe huwa wanapuyanga na kustukiwa pindi wafanyapo matukio ya ajabu.

Ndiyo maana huwa tunawapa nasaha majini wanapo amua kuja kuchukua ujuzi kwetu sisi binadamu basi wasiwe wnafanya matukio ya ajabu, sababu huwa wanatuathiri sisi na mfano wake.
 
Back
Top Bottom