Nimecheka sana. Maliza kazi niliyokupa kwanza kisha nakupa ushahidi wa kuwa majini yapo.Haya wewe leta Ushahidi kuwa kuna majini
Ukiweza namimi nakupa ushahidi yanafugika
Nimecheka sana. Maliza kazi niliyokupa kwanza kisha nakupa ushahidi wa kuwa majini yapo.Haya wewe leta Ushahidi kuwa kuna majini
Ukiweza namimi nakupa ushahidi yanafugika
Umetekenywa na jini Au?Nimecheka sana. Maliza kazi niliyokupa kwanza kisha nakupa ushahidi wa kuwa majini yapo.
Jini sio mfugo wewe dogo, na wewe leta ushahidi wapi uliona zizi la kufigia majini?Wewe unawajua majinni wote na watu wote duniani mpaka ujue hakuna mtu anayefuga jini?
Au toa sabab kwanini unaamini majini hayafugiki
Nacheka sana, kwahiyo kwa ujinga wako wa kuona ya kuwa hayana ushahidi ndiyo unakuwa muongo si ndiyo ? Sasa nakukanya tena mara nyingine usiwe unaandika mambo uiyo kuwa na elimu nayo.Umetekenywa na jini Au?
Mimi nasema Haya mambo ya kiroho hayana ushahidi..
Lakini wewe kwasababu umeinsist kutaka ushahidi basi leta ushahidi majini yapo.
Ukiweza hata mimi nitajitutumua nilete ushahidi yanafugika.
Joka la kibisaAlipiga??
Kijana acha uoga, usikimbie jukumu lako la kwanini umedai ya kuwa sisi Waislamu tunafuga majini ? Yaani kipi kilikufanya uaamini na ukubali hilo ? Usiruke ruke.Wewe unawajua majinni wote na watu wote duniani mpaka ujue hakuna mtu anayefuga jini?
Au toa sabab kwanini unaamini majini hayafugiki
kwani ndevu ni mfugo? hazifugiki?Jini sio mfugo wewe dogo, na wewe leta ushahidi wapi uliona zizi la kufigia majini?
Hakua mtu, believe me, wana uwezo wa kukupeleka kwenye Maisha wanayotaka wao, wakiamua Kipi uone Kipi usione.....
Now they are Watching you, ukionyesha ku mmiss anaweza rudi kwenye Maisha yako anytime, the rest yakawa Majuto.




Nacheka sana, kwahiyo kwa ujinga wako wa kuona ya kuwa hayana ushahidi ndiyo unakuwa muongo si ndiyo ? Sasa nakukanya tena mara nyingine usiwe unaandika mambo uiyo kuwa na elimu nayo.
Yaani swali langu hulikwepi na mpaka uthibitishe kisha namaliza na ushahidi ulio utaka toka kwangu.
Wewe ilikuwaje ukakubali ya kuwa kuna watu wanafuga majini mpaka unaamua kujenga hoja na kauli hiyo ?
wapi nimedai nyie waislam mnafuga majini?Kijana acha uoga, usikimbie jukumu lako la kwanini umedai ya kuwa sisi Waislamu tunafuga majini ? Yaani kipi kilikufanya uaamini na ukubali hilo ? Usiruke ruke.
Sasa tuwekee hicho ulichokiona, unaogopa nini kijana ? Maana kuna maswali nitakuuliza.Mimi niliona kwa macho yangu ndo nikakubali lakini haimaanishi huo ni ushahidi tosha kwa watu..Sasa kuna tofauti kati ya kwanini mimi binafsi niliamini na uwezo wa kuweka ushahidi kwa watu ni vitu viwili tofauti...mimi nishakubali sina ushahidi.
sasa wewe usikwepe swali langu
Mimi nishasema Haya mambo ya kiroho hayana ushahidi..
Lakini wewe kwasababu umeinsist kutaka ushahidi na umesema utauleta basi leta ushahidi majini yapo.
Ukiweza hata mimi nitajitutumua nilete ushahidi yanafugika.
Wewe ulisikia Wakristo ndiyo huwa wanaambiwa wanafuga majini ? Kijana inakuwaje unalipenda sana vazi la Uongo namna hii ?wapi nimedai nyie waislam mnafuga majini?
Yaani kusikia neno jini tu uislam umeshashtuka kama pete na kidole
Baada ya kwenda tena kwenye hiyo nyumba na majibu nliyopataNaomba kujua Ulianza ku-doubt lini kuwa huenda asiwe binadamu?
Labda walibadili majina
Anasema babake alikimbia vita akiwa kijana zamani sana.so alivokuja huku akaweka makazi,nadhani majina alijipachika mapya ili wasitambue.
Nimehisi tu.
oya mbona unazunguka palepale.Sasa tuwekee hicho ulichokiona, unaogopa nini kijana ? Maana kuna maswali nitakuuliza.
Hahaha mambo ya dini yameingiaje hapa?Wewe ulisikia Wakristo ndiyo huwa wanaambiwa wanafuga majini ? Kijana inakuwaje unalipenda sana vazi la Uongo namna hii ?
Okay bossHuyo mtu kumtafuta ni kazi rahisi sana
Unaweza anzia ubalozi wa comoro
Upate wa comoro waliopo tz miaka kumi iliyopita halafu uulize wa comoro walioishi Tabata..
Upate wa comoro waliosoma udsm kipindi hiko...
Binafsi naona ni rahisi mno kumpata
Okay boss
Ntajaribu
Ila sasa ndo nkute kitu sio real na kama vile walimwengu wanavosema hapa ni jini.
Hahaa
Kuna shida mahali! Yawezekana uliishi maisha ya ndotoni kipindi hicho unadhani ni halisi.
Una chochote hapo alichokuachia kama zawadi au alama isiyo na shaka kwamba mtu huyo mliwahi kuwa pamoja?
Nisikuchoshe.... Nikishakula bangi zangu kuna maeneo nikifika nabishana na fahamu zangu kwamba niliwahi fanya hiki hapa ilihali unakuta sijawahi kanyaga maeneo hayo![]()


