Alikua ana 'beep' nimempigia ana 'haha'

Alikua ana 'beep' nimempigia ana 'haha'

Ndio tabu ya kuwa na mpenzi mwenye utoto, aliona anakukomesha sana matokeo yake umeshakuwa sugu. Anyways, safiii hiyooo...U have gained your powers back. Mi nlishawahi kumkondesha mtu pia coz alikuwa ananipenda ila ana huo utoto akalia mwaka mzima!
 
Mi nilifikiri umemfumania au umegundua ana mpenzi mwingi kumbe ni hivyo vituko vidogo vidogo na ww ukaamua kuzila. Huo sio uanaume. Hebu mrudie mpenzi wako haraka sana kabla sijachukia.
 
Mkuu asubuhi yote hii umeamua kuandika kuhusu huyo binti? Acha kutuzuga bana.....najua kamoyo bado kanadunda kiaina kwake. Mapenzi hayafutiki kwa wiki kadhaa mkuu! Rudiana naye tu but muonye kuwa next time akirudia kauli zake ndo mazima. This time "Tump" atakuwa kama mpiga deki tu kwenye utawala wako .... 😀
 
alafu izi biti za tuachane, usinifatilie mara nyingi huwa zinamuumiza yule anayeileta pindi upande wa 2 ukipoteza mapenzi kiukweli.

kuna mmoja nami biti nyingi tuachane, sijui nini? nkakausha mazima akarudi kwa misamaha mingi sasa namwendesha kinyama hana hata sauti tena
Hahahaa.Umemshika masikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asubuhi yote hii umeamua kuandika kuhusu huyo binti? Acha kutuzuga bana.....najua kamoyo bado kanadunda kiaina kwake. Mapenzi hayafutiki kwa wiki kadhaa mkuu! Rudiana naye tu but muonye kuwa next time akirudia kauli zake ndo mazima. This time "Tump" atakuwa kama mpiga deki tu kwenye utawala wako .... 😀
Mbavu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom