Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,682
- 12,371
Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz.
Kupitia Instagram Alikiba ame-share wimbo wao unavyotrenda kwenye baadhi ya nchi na kuandika "Go Nandy umeangusha matikiti ya watu.
Ikumbukwe kuwa maneno *Matikiti kudondoka" ni maneno yanayopatikana kwenye wimbo wa Mapozi ambao umeimbwa na Diamond Platinumz.
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️